Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Inaonekana umeandika kiushabiki shabiki kitu ambacho si kizuri kwa mwaandishi. Ilitakiwa utoe vile alivyojibu na vile alivyoulizwa pasi na kuingiza ushabiki na kuacha suala kwa wasikilizaji au wasomaji watoe uamuzi.

Ok lakini thanks kwa taarifa.

Toka lini invisible alikuwa mwandishi? Wewe ndiyo unaleta ushabiki kwa kubandika watu taaluma zisizo zao!!!!! I betcha proffesion ya invisible ingekuwa uandishi kama unavyotaka kulazimishia leo hii JF isingekuwa one of the best designed forums in the world.
 
Me hata sijaelewa hii taarifa,sijui mwanzo ni wapi wala mwsho wapi
 
Inaonekana umeandika kiushabiki shabiki kitu ambacho si kizuri kwa mwaandishi. Ilitakiwa utoe vile alivyojibu na vile alivyoulizwa pasi na kuingiza ushabiki na kuacha suala kwa wasikilizaji au wasomaji watoe uamuzi.

Ok lakini thanks kwa taarifa.

lowasa ndo kaongea kishabiki sana na kwa upuuzi wa hali ya juu
 
Inaonekana umeandika kiushabiki shabiki kitu ambacho si kizuri kwa mwaandishi. Ilitakiwa utoe vile alivyojibu na vile alivyoulizwa pasi na kuingiza ushabiki na kuacha suala kwa wasikilizaji au wasomaji watoe uamuzi.

Ok lakini thanks kwa taarifa.

Mkuu Hauko FAIR kabisa kabisa kwa invicible. You are not fair. Huyu jamaa (INV) alijitahidi sana kuleta kwa kadiri inavyoongelewa na kwa haraka alafu wewe unakuja unasema ameandika kiushabiki???? Au labda sijakuelewa....hujamtendea haki kabisa. BTW Nani kakuambia Inv ni mwandishi au la?
 
kama kweli kaitwa Ikulu basi kuna jambo muhimu kaliachia njiani hajalizungumza.....niliwaambia asubuhi kuwa ni lazima ikulu kutakua kunawaka moto.....
 
Ama kweli Lowassa kiboko. Masaa mawili na nusu tu tangu thread ianze Replies 227 and Views 4,365 ? Je hiyo siku muafaka ukifika itakuaje?!

Umesahau siku alipojiuzulu Uwaziri Mkuu....JF ilikaribia ku-jam!!
 
EL will go home fully aware within himself that this is one of his worst (if not the worst) press showdowns ever in his political life!
 
Wakuu,

Lowassa kaondoka hapa Monduli muda si mrefu na inasemekana kaitwa Ikulu.

Alichoongea hakikuwa kwenye mpangilio unaoeleweka na imezidi kushangaza kuona anaondoka mida hii. Tunafuatilia tutawafahamisha zaidi

Atajiju!!!!!!!!!!! Ndipo atapojua kuwa anapobipu wenzake wanapiga kabisa. Unafiki mbaya sana
 
zile dakika 45 za ITV na Samwel Sita ndo zinafanya kazi.nasikia kuna dakika nyingine 45 zimebaki ambazo sita ataongea.nafikili hizo zilizobaki ndo zitamfanya Lowasa afunguke kiukwelikweli.kinachotakiwa tumtie moyo sita aendelee kutupasha zaidi ya mambo ya nchi yaliyofanyika hotelini.asubuhi inakaribia.mia
 
Haya semeni nyinyi sasa, maana mnataka kumsemea?

Alichopanga yeye kusema ndicho atakachosema au leo mmekosa KICHWA CHA HABARI kwenye magazeti na vyombo vya habari? Hata mkiandika mwaka huu tutavuna bila mvua kwani hatutanunua magazeti na kuangalia Tv au Redio.

Kila siku nasema watanzania ni wavivu, Ben Mkapa alishasema lakini mnampuuza,, Mzee Edward L. Ongea aliyopanga kwa manufaa ya taifa na chama chako wa siku control nafikiri taaluma yao ipo chini hao washika kalamu.
sijakuelewa
 
ahsante Invisible , lakini wandugu mimi sijaelewa kilichoongelewa ni nini hasa ?.Please mwenye press conference yote ashushe hapa jamvini walau tupate kuelewa . kwa hivi ilivyo imekatikakatika na haijatulia vizuri
 
zile dakika 45 za ITV na Samwel Sita ndo zinafanya kazi.nasikia kuna dakika nyingine 45 zimebaki ambazo sita ataongea.nafikili hizo zilizobaki ndo zitamfanya Lowasa afunguke kiukwelikweli.kinachotakiwa tumtie moyo sita aendelee kutupasha zaidi ya mambo ya nchi yaliyofanyika hotelini.asubuhi inakaribia.mia
nona kifo cha ccm kinabisha hodi
 
Asante kwa update mkuu.

Inaonekana katishwa na Riz1 ndio hajaongea lolote la maana bali porojo kama kawaida yake.
 
LOWA SASA naona kesha loa jasho sidhani kama atathubutu kuitisha press conf tena, hana jipya la kuwaambia watu anabaki kulalamika huku akikwepa maswali ya msingi, nazani siasa imemshinda! kila kitu oooh sio wakati wake... wacha wizi na uraisi huupati NG'O hata kama tumetoka mkoa mmoja b'z unatupuuza wananchi.
 
Edson, mwageni nyuzi hizo nasi tujue... ma mods wanatulostisha!
 
MAFISADI = MAFISI = WALANCHI! Tuwapige vita, ikiwezekana wafukuzwe nchini!
 
Nadhani alikua anatoa onyo kwa wapizani na maadui zake kwamba wakiendelea kumwandama magazetini na ktk vyombo vingine vya habari,atawapeleka mahakamani,na huko kama wao watamwaga ugali,yeye anamwaga mboga. TUKOSE WOTE!
 
Back
Top Bottom