Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
Inaonekana umeandika kiushabiki shabiki kitu ambacho si kizuri kwa mwaandishi. Ilitakiwa utoe vile alivyojibu na vile alivyoulizwa pasi na kuingiza ushabiki na kuacha suala kwa wasikilizaji au wasomaji watoe uamuzi.
Ok lakini thanks kwa taarifa.
Toka lini invisible alikuwa mwandishi? Wewe ndiyo unaleta ushabiki kwa kubandika watu taaluma zisizo zao!!!!! I betcha proffesion ya invisible ingekuwa uandishi kama unavyotaka kulazimishia leo hii JF isingekuwa one of the best designed forums in the world.