OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Ridhiwan alishasema kuwa JK hana Ugomvi wowote na Lowassa bali Wapambe ndo wanajaribu kuwafitinisha!... Lowassa nae anasema kuwa yeye na JK hawakukutana Barabarani! JK anasema rafiki yake alipata ajali ya kisiasa tu kama ilivyokuwa kwa Mwinyi enzi zile akiwa waziri wa mambo ya ndani!!! .... Jiulize kwa kina ilikuwaje Sitta akataka kutimuliwa kwenye Chama? Ukweli ni kuwa Wanafiq wote walikwisha julikana ... Sasa hakuna wa Kumzuia Lowassa asiwe Rais wa JMT....
Mnatukana Mamba..., baada 31/Oct/2015 mtakimbia nchi!
Huwa nasikia Riz ni bilionea naye hajaiba?
Mi ccm mibaya sana ukiipinga tu inakutaftia zengwe la uraia....usipoteze muda wako ndugu huyo sio mtanzania.
Rais ni Lowassa au Dr Slaa kwa hilo sina shaka...
wewe unauzika? Lowassa hana mfanoLowassa hazuiliki. Ingekuwa tu maneno kama haya yanafunction asingekuwepo. Lakini ndo yanampa
nguvu na uwezo zaidi.
Kama JK angekuwa na hayo moyoni basi angetumia majeshi yake... kama alivyosema Ridhi.
All in All Lowassa ni mwamba imara na Fred amerithi kwa baba
na wewe umetafutiwa zengwe?Mi ccm mibaya sana ukiipinga tu inakutaftia zengwe la uraia....
wewe unauzika? Lowassa hana mfano
Ukiona watu wanakujadili ujue wanakukubali. huu ndiyo ushahidi kuwa Rowasa ni kiongozi mwenye ujasili wa hali ya juu ktk maamuzi yake. kiongozi wa aina hii ndiyo tumtaka 2015. atutaki kiongozi mpambe
ROWASA naye anataka kupambana na LOWASSA?
Shida ya Lowasa mwenendo wake siyo mzuri ni mwizi na roho mbaya mpenda visasi kwa watu aliowahi kukosana nao.
Mi ccm mibaya sana ukiipinga tu inakutaftia zengwe la uraia....
(To be Continued....)
STAY ON TUNE!!!
1. 1995 Kikwete alivyoenda kuchukua fomu naye wakiwa angani kwenye ndege Lowassa naye akasema anataka kuchukua fomu. Haingii akilini kama si msaliti ni nini?pamoja na hayo JK alimsamehe baada ya usuluhishi chini ya Samwel Sitta. lakini akazua jipya Bwana Lowassa.
(To be Continued....)
STAY ON TUNE!!!