Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Ridhiwan alishasema kuwa JK hana Ugomvi wowote na Lowassa bali Wapambe ndo wanajaribu kuwafitinisha!... Lowassa nae anasema kuwa yeye na JK hawakukutana Barabarani! JK anasema rafiki yake alipata ajali ya kisiasa tu kama ilivyokuwa kwa Mwinyi enzi zile akiwa waziri wa mambo ya ndani!!! .... Jiulize kwa kina ilikuwaje Sitta akataka kutimuliwa kwenye Chama? Ukweli ni kuwa Wanafiq wote walikwisha julikana ... Sasa hakuna wa Kumzuia Lowassa asiwe Rais wa JMT....

Umenena vyema mkuu, mnafiki mkubwa katika hili sakata anajulikana bila shaka....uko sahihi chief
 
Hivi unavyosema Lowassa kapania urais unamaana gani na kapania kivipi.... Je ni MTU wa visasi vipi hivyo mbona alivyokuwa Waziri Mkuu ni nani alimfanyia kisasi....msilopoke bila hoja kwa nasirahi yenu..lakini ninyinyi mlimpa tuhuma jakaya 2005 Mara anaunwa,Mara kamfunga babu seya zote zilikuwa tuhuma hazina msingi lakini alishinda.
 
Lowassa hazuiliki. Ingekuwa tu maneno kama haya yanafunction asingekuwepo. Lakini ndo yanampa nguvu na uwezo zaidi.
Kama JK angekuwa na hayo moyoni basi angetumia majeshi yake... kama alivyosema Ridhi.
All in All Lowassa ni mwamba imara na Fred amerithi kwa baba
 
Lowassa hazuiliki. Ingekuwa tu maneno kama haya yanafunction asingekuwepo. Lakini ndo yanampa
nguvu na uwezo zaidi.
Kama JK angekuwa na hayo moyoni basi angetumia majeshi yake... kama alivyosema Ridhi.
All in All Lowassa ni mwamba imara na Fred amerithi kwa baba
wewe unauzika? Lowassa hana mfano
 
Ndio pale lilipoundwa richmond, na kuuziwa lowasa, na kikwete kujitoa wakati walikula wote
 
wewe unauzika? Lowassa hana mfano

Jibu baada ya kusoma vizuri. Nimesema Lowassa hazuiliki hilo la kuuzika limetoka wapi Mkuu? Mbona kama tunajenga nyumba moja halafu. ......
Lowassa ni chaguo la Mungu anaebisha aendelee wakati utafika
 
Ukiona watu wanakujadili ujue wanakukubali. huu ndiyo ushahidi kuwa Rowasa ni kiongozi mwenye ujasili wa hali ya juu ktk maamuzi yake. kiongozi wa aina hii ndiyo tumtaka 2015. atutaki kiongozi mpambe
 
Shida ya Lowasa mwenendo wake siyo mzuri ni mwizi na roho mbaya mpenda visasi kwa watu aliowahi kukosana nao.

Kama anaowafanyia visasi ni watu waliomfanyia ubaya, hapo kuna shida gani. Nyerere alimchapa idi Amin bila kujali ataambiwa analipa kisasi.

Hata mimi ukinifanyia ubaya nitakuangamiza bila kujali utatamka neno linaloitwa "visasi".

Kisasi ni adhabu halali kwa mkorofi na ndiyo maana kuna magereza kwa ajili yao.
 
Naomba mungu sana huyu mzee lowa sana asije kuwa rais maana ulimwengu utatushangaaa kuongozwa na mwizi
 
1. 1995 Kikwete alivyoenda kuchukua fomu naye wakiwa angani kwenye ndege Lowassa naye akasema anataka kuchukua fomu. Haingii akilini kama si msaliti ni nini?pamoja na hayo JK alimsamehe baada ya usuluhishi chini ya Samwel Sitta. lakini akazua jipya Bwana Lowassa.

(To be Continued....)
STAY ON TUNE!!!

Story Za kahawa hizi...

Mwaka 1995 boys 2 men ..ulikuwa team work kuhakikisha Kama mmoja anakatwa mwingine aende hadi mwisho...ulifanikiwa ...Kikwete akifika mbili bora
 
Back
Top Bottom