OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Ridhiwan alishasema kuwa JK hana Ugomvi wowote na Lowassa bali Wapambe ndo wanajaribu kuwafitinisha!... Lowassa nae anasema kuwa yeye na JK hawakukutana Barabarani! JK anasema rafiki yake alipata ajali ya kisiasa tu kama ilivyokuwa kwa Mwinyi enzi zile akiwa waziri wa mambo ya ndani!!! .... Jiulize kwa kina ilikuwaje Sitta akataka kutimuliwa kwenye Chama? Ukweli ni kuwa Wanafiq wote walikwisha julikana ... Sasa hakuna wa Kumzuia Lowassa asiwe Rais wa JMT....
Umenena vyema mkuu, mnafiki mkubwa katika hili sakata anajulikana bila shaka....uko sahihi chief