Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

ngona nilale sasa......hakuna jipya back to square one!!
 
Tatizo la umeme wanashindwa kulitatua mika miaka nenda miaka rudi na ndio kitovu cha mafisadi kujichotea pesa.HIVYO VIWANDA VITAENDESHWAJE???!!!!!!!!!
 
Nimewapata Invisible.. kumbe jamaa alikuwa na meeting ndo maana akapigiwa simu kali.. Ok ok! sasa naskia mheshimiwa alikuwa kapaniki sana, alichokusudia kuongea sicho.. naskia alishajitutumua kwamba liwalo na liwe leo lazima kieleweke.. ile simu imemharibia dili.. Jamaa mwoga sana, siasa za kibongo hazihitaji waoga.. sasa hali yake itakuwa mbaya kwa sababu kuna nyoka mmoja ameniambia kwamba alikwenda kwenye trash ya pc aliyochapa hotuba yake, akairetrive kutoka kwenye pc dust-bin. na amesema ataiprint ili mhe akirudi DSM aikute mezani kwake.. ili kumwonyesha kwamba what he was going to do was already known. sasa tuone faida ya woga wake itakuwaje. na snake wa ukweli anadai ataimwaga hotuba hiyo wazi kwenye vyombo vya habari au gazeti, hotuba yenyewe inahusiana na mambo ya siri kati yake na mzee na si rahisi kuyakana kwamba si yake..
".... unakumbuka kwa uwazi, na wewe ni shahidi wa gharama na maumivu tuliyoyapata kuliokoa Jimbo la igunga, wala muda haujapita hata madonda yetu ndani ya chama hayajapoa..kuna mpuuzi mwingine anataka kutuwekea wakati mgumu tena.. unisikilize, Mimi sitakubaliana na Hilo, wanachama wote.. hawatakubaliana na Hilo, wala Sitaruhusu Chama kifie mikononi mwangu.. Utanisamehe.. kwa nitalotenda.."

hatupendi Kuona Vurugu ndani ya CCM au CHADEMA au chama chochote cha Siasa. ila zaidi hatupendi waoga.. Uoga ni sumu mbaya zaidi.. nakumbuka Mzee Mengi aliwahi sema Mwoga ni zaidi ya mchawi..
 
I updated the 1st post:

Mwandishi wetu kamsisitizia kuwa watu wamesisitiza wanataka kujua kauli yake juu ya Richmond/Dowans/Symbio na suala la kujivua gamba ndani ya CCM, vinginevyo mkutano huu hautakuwa na maana na watu wanahisi labda umetishwa. Kajibu kuwa masuala haya atayazungumzia lakini leo si wakati muafaka, kuna wakati atayazungumzia.
 
hao sijui kmati kuu wakikutana wamtimue tu
 
huyu jamaa si angejiroaekodi kwny cd kisha angepeleka kwny vyombo vya habari, ni kitugani sasa hiki amefanya.
 
aende zake huko....huyo alikuwa amekuja mazima kumwaga kila kitu ila nahisi alivyoondoka gafla kwa dakika kadhaa amepigwa mkwara huyo ndio maana kaongea bila mpangilio
 
aende zake huko....huyo alikuwa amekuja mazima kumwaga kila kitu ila nahisi alivyoondoka gafla kwa dakika kadhaa amepigwa mkwara huyo ndio maana kaongea bila mpangilio
Penye bold panahusika...

Jamaa ameonekana ghafla kama hakujipanga ilhali ilishaandaliwa muda mrefu. He was not settled at all.
 
Hebu tuambie haya maneno kaandika nani? Hujaeleweka Salma.
 
".... unakumbuka kwa uwazi, na wewe ni shahidi wa gharama na maumivu tuliyoyapata kuliokoa Jimbo la igunga, wala muda haujapita hata madonda yetu ndani ya chama hayajapoa..kuna mpuuzi mwingine anataka kutuwekea wakati mgumu tena.. unisikilize, Mimi sitakubaliana na Hilo, wanachama wote.. hawatakubaliana na Hilo, wala Sitaruhusu Chama kifie mikononi mwangu.. Utanisamehe.. kwa nitalotenda.."

Naanza kupoteza imani yangu kwake 2015

Kwa level ya Lowassa hakupaswa kabisa kuitisha press conference ya kuongelea vitu vidogo kama hivyo, nadhani leo atakuwa amewanyong'onyeza sana wapenzi wake na kuwapa kicheko adui zake...
 
Mkuu angekuwa amesoma hii thread..........yangekuwa mengine leo hii!!!!!!!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...e-can-never-be-misquoted-a-true-friend-2.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…