uchafu ni huo ulomwagiwa masaburini mwako.Naomba mungu anisamehe lowasa sitaki hata kumsikia mzee mchafu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchafu ni huo ulomwagiwa masaburini mwako.Naomba mungu anisamehe lowasa sitaki hata kumsikia mzee mchafu sana.
(to be continued....)
stay on tune!!!
Mamvi labda akawe rais wa monduli.
Naomba mungu sana huyu mzee lowa sana asije kuwa rais maana ulimwengu utatushangaaa kuongozwa na mwizi
Shida ya Lowasa mwenendo wake siyo mzuri ni mwizi na roho mbaya mpenda visasi kwa watu aliowahi kukosana nao.
Hapa umenena kinyume kabsa ! Tabia za membe unazihamishia kwa Lowasa ? Kwani zile Pesa za marehemu Gadafi alizificha Lowasa? Je? Yule Barozi wa Libya aliyejiua ni nani alimpiga Kipapai? Kumbuka Baba yako Membe kamwaga pesa nyingi ili Lowasa achefuliwe Mtandaoni akidhani ni njia sahihi ya kumpeleka ikulu kumbe amebug , nenda kamwambie Kuwa Nchi hii watu wameamka sasa hata akigawa pesa kila kona hawezi Kuwa Rais kwani dhambi ya kuwachafua web zake kwenye mtandao inamwandama.
Naomba mungu anisamehe lowasa sitaki hata kumsikia mzee mchafu sana.
Wanafunzi wanakufaaa wakiwa wanasoma ,wajawazito wanakufaa wakiwa wanajifungua ,watoto hawajafikisha umri wa miaka mitano. Wanakufa wasiotarajiwaa kufa wakiwa buheri wa Afya ,umauti Ni popote Pale ndugu yangu, huna pakujikimu siku yako itakapofika ,Watoa hoja juu ya leigwanan kwamba Ni mgonjwaaa Wote Ni mapunguani wasio na uwezo wa kujifikirisha hata chembe
Hakuna Aliyeagana na mungu ,EDWARD lowassa ndiye chaguo la wengi ,mwenye maamuzi magumu na sahihi ,tunampendaaa tutampaaaa Kura
Wahenga walisema 'ndege wafananao huruka pamoja'. Kwa urafiki wao;kwa tabia zao;kwa historia zao na mategemeo ya wananchi juu yao,Lowassa na Rais Kikwete ni copy and paste. Ndani ya CCM,Urais hufuata foleni. Sasa ni zamu ya Lowassa.
Kama wananchi wamependezwa na uongozi wa Rais Kikwete,Lowassa atashinda. Vinginevyo,Lowassa atakula mweleka mkuu. Ndiyo kusema performance ya Rais Kikwete itambeba au kumwangusha Lowassa. Sifa zake safi na chafu zitakuwa nyongeza.
Kwa maneno mengine,kumchagua Lowassa ni kama kumuongezea muda wa madaraka Rais Kikwete.
Ni mimi tu kuwaletea habari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Jazba baba, Mwezio kaandika kwa uwezo wa ubongo wake, sasa nawewe hapo ndo mwisho wa ubongo wako kabisa?uzushi na unafiki mtupu
Jazba baba, Mwezio kaandika kwa uwezo wa ubongo wake, sasa nawewe hapo ndo mwisho wa ubongo wako kabisa?