Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Hivi ninyi kuna chochote cha kutegemea toka kwa hawa Fisadi?
 
kuvua gamba hiyo itakuwa ndoto labda kama anampango wa kuhamia chadema ya igunga ni fundisho kwa Chama cha magamba
 
Atakuwa anafanya timing mbaya.Naona hajatosheka na yaliyompata hadi kujiuzulu.Na bado hataki kuweka rekodi sawa.Kuna timing anatakiwa kuwa nayo kati ya uchaguzi,kujivua gamba,na kuweka rekodi ya Richmond straight.Thats the path he has to go if he wants to remain in politics.

Nampongeza sana Mh. EL kwa jitihada zake za kujaribu kuliokoa jahaza lake lilozama siku nyingi!

Naamini siku ya leo itabaki kwenye kumbukumbu za wapenda nchi hii kama milestone muhimu katika harakati za kumalizana na maruhani ya CCM!
 
Hana cha kuongea yule maana dhambi imemjaa mpaka moyoni....lowassa ni wimbo uliochusha na hata ufanye remix hauwezi noga tena...
siyo moyoni tu ananuka harufu ya dhambi ila alienda kwa TB Josua labda katakasika ila nadhani ndo mwanzo wa kuomba msamaha kwa wa TZ
 
Nampongeza sana Mh. EL kwa jitihada zake za kujaribu kuliokoa jahaza lake lilozama siku nyingi!

Naamini siku yale itabadi kwenye kumbukumbu za wapenda nchi hii kama milestone muhimu katika harakati za kumalizana na maruhani ya CCM!
Ndugu Dark City,naona EL na yeye ameshindwa kuchukua maamuzi magumu.
 
Hivi matatizo tuliyonayo watanzania ni Dowans tu mbona hakuulizwa maswala ya msingi kama ukosefu wa waalimu shule za kata

Masuala anayotakiwa atoe majibu ndiyo hayo Dowans/richmond na mengine na siyo ukosefu wa waalimu na shule za kata. Unamuuliza hayo ya waalimu na shule za kata yeye yanamhusu nini?? Hayo yanamhusu mwenyekiti wa magamba/mkuu wa nchi. Masaburi
 
Hi Forks,
Najaribu kutafakari kwa kina kuhusu mpambano na mnyukano
wa nafasi ya mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania 2015 kupitia chama cha Mapinduzi CCM nafasi yake kwa asilimia kubwa inaweza kumwangukia
Mh Edward N.Lowasa.
Sasa najiuliza:
  • Endapo atapewa hiyo nafasi na akashindwa na vyama vya Upinzani atakuwa tayari kukubali?
  • Na Je,Endapo atashinda atakuwa tayari kufanya kazi na mahasimu wake wakuu?

Nawasilisha
 
Sasa ndo kaongea nini mbona hajaeleweka, alikuwa anatwambia nini wakati lengo letu ni kusikia kuhusu Richmond na mambo mengine ikiwemo la kujivua gamba otherwise its a crap.
 
EL is an idiot, yaani kaitisha press conference kuwatisha vyombo vya habari na watanzania wote, eti amechoka na its enough, mbona sisi watanzania bado hatujauchoka mgao wa umeme uliosababishwa na uroho wao

this is more than supression and aggression towards innocent and poor civilians

EL omba radhi umma wa watanzania haraka sana

garbage in garbage out

im done, enough is enough in this country
 
EL is coward politician, nafsi yake unamsuta kwa wizi alioibia watanzania na anatapatapa kuwa yeye CCM damu anajua CCM ikitoka madarakani ana kesi ya kujibu na hukumu yake ipo wazi
 
Hi Forks,
Najaribu kutafakari kwa kina kuhusu mpambano na mnyukano
wa nafasi ya mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania 2015 kupitia chama cha Mapinduzi CCM nafasi yake kwa asilimia kubwa inaweza kumwangukia
Mh Edward N.Lowasa.
Sasa najiuliza:
  • Endapo atapewa hiyo nafasi na akashindwa na vyama vya Upinzani atakuwa tayari kukubali?
  • Na Je,Endapo atashinda atakuwa tayari kufanya kazi na mahasimu wake wakuu?

Nawasilisha

unawasilisha pumba.

hivi kuna Mtanzania ana akili timamu anafikiria nchi hii kuwa na mgombea wa Urais (achia mbali kuwa Rais) kama Lowasa?

laana au?
 
Amechelewa sana kuongelea na mambo haya labda angechukua ushauri wa mzee mwanakijiji aliwahi kushauri kuwa ajitokeze kujitetea maana sasa anaonekana kama kutapatapa tu
 
ahsante Envisible , lakini wandugu mimi sijaelewa kilichoongelewa ni nini hasa ?.Please mwenye press conference yote ashushe hapa jamvini walau tupate kuelewa . kwa hivi ilivyo imekatikakatika na haijatulia vizuri

Hapo kwenye red pameniacha hoi. Bado nashindwa kuelewa wale wanaochanganya Press Conference na Press Release..... Kweli jamani we can't understand difference ya document na event? lol
 
Who is Lowassa hapa Tanzania, anataka kuwekeza kwa Vijana na kibwagizo cha Ajira? alikuwa huko huko kwa miaka mingapi? mbona hatumuoni huko Bungeni akiipinga Wizara ya Kazi kuhusu suala la Ajira. Hana lolote anataka kutokea na Mtaji wa Ajira 2015, tumeshamshutukia Fisadi kama Kikwete tu
 
unawasilisha pumba.

hivi kuna Mtanzania ana akili timamu anafikiria nchi hii kuwa na mgombea wa Urais (achia mbali kuwa Rais) kama Lowasa?

laana au?
nani atamcheka Lowassa katika chama la MAGAMBA???katika CCM yupi si gamba?????????
 
msisahau kumuuliza kapata wapi hela ya kununua kiwanja mikocheni b kilichokuwa kina milikiwa na stanley mzungu mfuga ng`ombe..

kipo opposite na show room kituo cha business
 
Mkuu Hauko FAIR kabisa kabisa kwa invicible. You are not fair. Huyu jamaa (INV) alijitahidi sana kuleta kwa kadiri inavyoongelewa na kwa haraka alafu wewe unakuja unasema ameandika kiushabiki???? Au labda sijakuelewa....hujamtendea haki kabisa. BTW Nani kakuambia Inv ni mwandishi au la?[/

Ni kweli anahitaji kupongezwa
 
Back
Top Bottom