Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa anafanya timing mbaya.Naona hajatosheka na yaliyompata hadi kujiuzulu.Na bado hataki kuweka rekodi sawa.Kuna timing anatakiwa kuwa nayo kati ya uchaguzi,kujivua gamba,na kuweka rekodi ya Richmond straight.Thats the path he has to go if he wants to remain in politics.
siyo moyoni tu ananuka harufu ya dhambi ila alienda kwa TB Josua labda katakasika ila nadhani ndo mwanzo wa kuomba msamaha kwa wa TZHana cha kuongea yule maana dhambi imemjaa mpaka moyoni....lowassa ni wimbo uliochusha na hata ufanye remix hauwezi noga tena...
Ndugu Dark City,naona EL na yeye ameshindwa kuchukua maamuzi magumu.Nampongeza sana Mh. EL kwa jitihada zake za kujaribu kuliokoa jahaza lake lilozama siku nyingi!
Naamini siku yale itabadi kwenye kumbukumbu za wapenda nchi hii kama milestone muhimu katika harakati za kumalizana na maruhani ya CCM!
Hivi matatizo tuliyonayo watanzania ni Dowans tu mbona hakuulizwa maswala ya msingi kama ukosefu wa waalimu shule za kata
Hi Forks,
Najaribu kutafakari kwa kina kuhusu mpambano na mnyukano
wa nafasi ya mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania 2015 kupitia chama cha Mapinduzi CCM nafasi yake kwa asilimia kubwa inaweza kumwangukia
Mh Edward N.Lowasa.
Sasa najiuliza:
- Endapo atapewa hiyo nafasi na akashindwa na vyama vya Upinzani atakuwa tayari kukubali?
- Na Je,Endapo atashinda atakuwa tayari kufanya kazi na mahasimu wake wakuu?
Nawasilisha
ahsante Envisible , lakini wandugu mimi sijaelewa kilichoongelewa ni nini hasa ?.Please mwenye press conference yote ashushe hapa jamvini walau tupate kuelewa . kwa hivi ilivyo imekatikakatika na haijatulia vizuri
nani atamcheka Lowassa katika chama la MAGAMBA???katika CCM yupi si gamba?????????unawasilisha pumba.
hivi kuna Mtanzania ana akili timamu anafikiria nchi hii kuwa na mgombea wa Urais (achia mbali kuwa Rais) kama Lowasa?
laana au?
Mkuu Hauko FAIR kabisa kabisa kwa invicible. You are not fair. Huyu jamaa (INV) alijitahidi sana kuleta kwa kadiri inavyoongelewa na kwa haraka alafu wewe unakuja unasema ameandika kiushabiki???? Au labda sijakuelewa....hujamtendea haki kabisa. BTW Nani kakuambia Inv ni mwandishi au la?[/
Ni kweli anahitaji kupongezwa
nani atamcheka Lowassa katika chama la MAGAMBA???katika CCM yupi si gamba?????????