HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Uongo sio mzuri, Leo haikuwa ratiba ya geita ila mamia ya wanageita walikuwa wanamsubiri ikalazima chopa ishuke ili akawasalimie na akawaambia atakuja siku iliyopangwa
Lissu anasema kulikuwa na maandalizi mabovu ya mkutano, spika zilikuwa na matatizo. Wewe unasema leo haikuwa ratiba ya Geita na ndio sababu mkutano kupigwa tarehe!!! Pengine ni vema mngekubaliana humo ndani ili mkitoka nje mje na 'ngonjera' inayofanana!
Mapumziko mema Dr Slaa!