Jana wakati nikiangalia taarifa ya habari nilioza Lowassa akiongea kwa kigugumizi afu kuna mtu akaenda kumnong'oneza Tundu Lissu afu Lissu akaja na kusema ana ahirisha mkutano sababu jukwaa na dogo na sauti hazipo poa
Maswali yangu ni haya
1. Ni kweli hyo ndo sababu au kuna kingne nyuma ya pazia
2.kampeni za mtu mkubwa kama Lowasa hazina maandalizi na mawasiliano ya kutosha hadi mtu anafika na kutumia hela afu mnaahirisha
3.Jukwaa kuwa dogo wananchi ndo wanapanda jukwaani
4. Mwisho swali la kizushi hivi lowasaa mdahalo ataweza kweli kama kampeni tuu haongei zaidi ya dakika 10