Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Waweza kufa wewe hata kabla ya huyo unaemuita mgonjwa, chunga ulimi wako ndugu!
 
ata afe tutampigia kura huyo huyo..afu kwa taarifa yenu mnazidi kumpa lowasa airtime endeleeni
 
:smokin:..IHI KITU MBAYA SANA. NDIYO MNAPEWA ALAFU MNAKUJA KULETA PROPAGANDA ZENU HAPA. LOWASSA KAHAIRISHA MKUTANO KUTOKANA NA ITILAFU ZA VYOMBO VYA MATANGAZO. MTAANGAZIKA MWAKA UHU.

Aliwezaje kuhutubia Chato nusu saa baadaye?
 
[h=2][/h] Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.


Acha umbea, Breaking gani hiyo? Ungekuwa huku Kiabakari ungepata mume fasta.
 
Yani magamba yalivyo busy kukimbilia kuanzisha nyuzi za lowassa inashangaza
 
Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.

Kazi waliyokupa ni ngumu Sana waombe wakubadilishie mkuu, jana umekuja na uongo wa kuzomewa leo umeibuka na mwingine, we are watching you closely soon utapotea hapa mana hili jukwaa si la kujaza uongo na propaganda.
 
Mmekuwa na vijembe kama taarab kwisha nyinyi ccm mashetani wakubwa
 
baada ya kuona thread za ukawa kujaa, mnaanzishaa upuuzi ili watu wa reply, hatupotez mdaa
 
Si kila jambo unalosikia unakimbilia kuanzisha uzi hapa..
 
Nimeangalia hiyo taarifa kupitia ITV tatizo ni uwanja na Lissu ameahidi watarudi tena kufanya mkutano.


Lowassa alipokelewa kwa kishindo huku akitembea amezungukwa na vijana na eneo halikutosha kwa mkutano.

Lissu pia ameahidi maandalizi bora zaidi ya mkutano mwingine.

Acha uongo hiyo taarifa hujaangali peke yako.
 
Ni zaidi ya aibu kuzunguka na mtu aliyemgonjwa, leo mmeumbuka poleni sana.
 
Mnahangaika sana..... Wananchi wanasubiri tarehe 25.10.2015....

Afu Mods nashangaa huu uzi bado upo wakati vyombo vya habari vyote vimeonyesha maandalizi ndio hayakuwa mazuri....
 

Pole, nakuona hujitambui: Mheshimiwa alishindwa kuongea kutokana na matatizo ya mitambo ya utangazaji (public address system). Fuatlia matangazo kwenye TV usikalie politiki.
 
[h=2][/h] Hatimaye mgombea urais ashindwa kuhutubia kutokana na tatizo la ugonjwa linalomkabili, inasemekana hali yake ilibadilika ghafla ikabidi waahirishe mkutano ili kupunguza aibu kwa wanachama.


mtoto wa kiume kuwa na aibu. uarabuni unaweza olewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…