idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Kwa hiyo alieongea pale ni Lissu ni Lowassa.?Kama uliangalia Taarifa ya habari ITV, LOWASSA aliongea, akasema kuwa miundombinu ya vyombo vya mawasiliano pale uwanjani havikuwa sawa! Unasemaje hakuongea, hata salamu?
Wana GEITA wametuelewa na tutaenda tena kabla ya Kampeni kuisha!
Lowassa is the talk of the Nation and the Next Prezoo of TZ...mark my words..!
Najua mnataka kuzusha kuwa hakuweza kuhutubia kwa sababu ni mgonjwa! Sio kweli hata kidogo!!
Na kama Lowassa alieongea alisikikaje wakati vyombo hivyo hivyo alisema vibovu.?