Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Duh....

Hii kali sasa....Haaikuwa ratiba yao???....

Mbona Mbogwe, Bukombe na Chato mikutano imefanyika?..

Too low!
Hii mi sijaipenda hata kidogo. Mkutano unahairishwa kwa sababu ya eti mfumbo wa sauti haukuwa mzuri?!!!! Furaha yangu ya kuanzia asubuhi imekata gafla.
 
Nasikia kuna kaboom kalitakiwa kutupwa pale wakamuondoa rais wetu mapema..watu kwa vijicho jamani..
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

We Gamba peleka utumbo wako Lumumba. ITV wameshaonyesha na tunafahamu sababu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Mzee maji ya 50 aliokunywa tandare yamemponza
 
Sasa mbona anashindwa kuhutubia Chifu?..

Nini tatizo hasa?...Maana sababu alizotoa Lissu ni za hovyo kabisa...Yaani Lowassa ameshindwa hata kuwasalimu wananchi waliojitokeza kumuona Geita!!...

So sad!!...

Vipi Magufuli aliposhindwa kuhutubia kule mbeya alipokwamwa na sauti ikawa haitoki alikuwa anauguwa ugonjwa gani?
 
Tukutane oktoba 25, sina muda wa kujibizana na mashankupe yasiyojitambua!

hongera wewe unaejitambua kwa kugeuzwa kama chapati isiyokuwa na mnunuzi...leo unaambiwa fisadi kesho unaambiwa msafi bado unakuja unajitamba eti unajitambua kwa lipi hasa?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..
Pamoja na maandalizi mabovu alihutubia kidogo na kuahidi kushughulikia wachimbaji wadogo wadogo kwa kuwatengea maeneo yao.
 
Back
Top Bottom