Kwa hiyo alieongea pale ni Lissu ni Lowassa.?Kama uliangalia Taarifa ya habari ITV, LOWASSA aliongea, akasema kuwa miundombinu ya vyombo vya mawasiliano pale uwanjani havikuwa sawa! Unasemaje hakuongea, hata salamu?
Wana GEITA wametuelewa na tutaenda tena kabla ya Kampeni kuisha!
Lowassa is the talk of the Nation and the Next Prezoo of TZ...mark my words..!
Najua mnataka kuzusha kuwa hakuweza kuhutubia kwa sababu ni mgonjwa! Sio kweli hata kidogo!!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..
Utarudiwa lini?..
Mbona Lissu ameweza kuongea na akasikika??..
Kwa nini Lowassa ameshindwa hata kutoa salamu badala yake kumuachia Lissu kutoa maelezo yasiyojitosheleza...
Kuna tatizo...
alikuwa amechoka jamani,wwaambie wavute subira,akiwa rais atakuja kuwahutubia....
Lowassa ata akifa tutapigia kula jeneza lake
Team mafidadi wanahangaika ili kujiokoa na jela ya Magufuli
baada ya kuona thread za ukawa kujaa, mnaanzishaa upuuzi ili watu wa reply, hatupotez mdaa
Tulia dawa Izame wewe kiroboto!Kura sio kula we nyumbu
Sasa iweje vifaa vya mawasiliano vyenye matatizo Lissu aweze kuvitumia lakini Lowassa asivitumie?....Kuendelea kung'ang'ania kuwa kuna tatizo ni wewe mwenyewe tu. Thibitisha
Duh....Sio kweli. Loh! Kudanganya watu tu. Haikuwa ratiba yao ya campaign huko Geita,ndo maana wamewaahidi kurudi tena. kwasababu maandalizi hayakufanyika.