Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Aliongea kidogo ila mike ziligoma inaonekana maiki hazikuaminika kiusalama hakutaka kuzisogeza sana mdomoni
 
Sio kweli. Loh! Kudanganya watu tu. Haikuwa ratiba yao ya campaign huko Geita,ndo maana wamewaahidi kurudi tena. kwasababu maandalizi hayakufanyika.

We Ni Mpumbavu Na Ni Lofa Waulize Wenzako Watakwambia Sio Unakuja Kusema Kitu Usichokijua!Sasa Kama Haikuwa Kwenye Ratiba Sasa Kwanin Lissu Atoe SAbabu Za Kuhairisha Mkutano Geita?
 
Mungu ameamua kumtumia LOWASSA kuiondoa CCM, hakuna namna nyingine! LOWASSA anatosha!!!!
 
Kwa hatua aliyofikia lowassa asiwe anaongea awe anapunga tu mikono ...maana wananchi walishamkubali awe rais wao 2015
 
ITV ...Shamra shamra za mapokezi zasababisha mgombea uraisi wa chadema kupitia ukawa kushindwa kuhutubia geita
 

utakufa wewe,acha upuuzi,hujui kwamba apandacho mtu ndicho anachovuna,
Lowasa Hakushindwa kuongea kwa sababu za kiafya,Bali,ni maandalizi duni,shamrashamra na wingi wa watu,,
Mbona Baada Ya hapo Alihutubia maelfu ya watu CHATO,KWA MAGUFULI.
MWAKA HUU HYENA/FCM,CCM MTAWEWESUKA SANA,
LOWASA RAIS WETU AWE KTK HALI YOYOTE ILE,NI CHAGUO LA MUNGU,NI CHAGUO LETU!
 
Hawajaambiwa wakaangalie hotuba kwenye website ya chama?

We naye ni mshambenga! Kama mbwa koko vile..

Lowassa asiseme kitu, ng'ong'ong'o

Website ya chama, si afadhali yeye alisema website ya chama! Huyo magufuli anajua hata website ninini?

We nanihii nini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Atoe hotuba ana nini cha kizungumza? Wakati mwingine muwe mnachagua topic za kuanzishia thread, mnaudhi sana!
 
Usahihi:

Kulikuwa na maandalizi mabovu ya mkutano, hasa upande wa spika. Hata hivyo mkutano huo utarudiwa tena kwa ajili ya kuweka maandalizi vizuri. Hayo aliyasema pia Mh Tundu Lissu

Source: ITV

CC: Invisible Moderator

Porojo tupu, hebu jipange uje upya.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ameamua kumtumia LOWASSA kuiondoa CCM, hakuna namna nyingine! LOWASSA anatosha!!!!

Anatosha Ndiyo Tena Sana Kwenye Ufisadi...Anafaa Kuwa Rais Wa Mafisadi Na Sio Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania...
 

mburura
 
Sio kweli. Loh! Kudanganya watu tu. Haikuwa ratiba yao ya campaign huko Geita,ndo maana wamewaahidi kurudi tena. kwasababu maandalizi hayakufanyika.

Maandalizi ya Mtu anayehutubia dakika 5.....???

Wanaandaa nini??
 

Huyo Mungu aliepanga unachokiunga mkono ana matatizo makubwa sana. Im just saying!
 

Punguza jazba mama.
 

Dual la chura halimpati mwewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…