Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Vijana wenye matongotongo ya siasa hamjui lolote
 
Membe ajifunze kwa Lowasa leo hii anavyotukanwa na wapinzani.
Chondechonde Membe usiende upinzani siku ukirudi CCM watakutukana kama anavyotukanwa Lowasa na vitoto vya graduate zero.
 
Naona sasa Maandalizi ya Kumpa Mama Lowassa Ubunge wa Kuteuliwa pamoja na Kuanza Kuteua Watoto wa Lowassa Serikalini yameshaanza.
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Kweli!?
Na tulipo mpokea cdm alikuwa malaika?
Ebu usiwe na jazba, kawaulize Mbowe, Msigwa, Lisu, Sefu, Mshana Jr , tindo, n.k. waulize, je lowada fisadi? maana kuna uwezekano ndio umetiza miaka 18 so huu ndio uchaguzi wako wa kwanza.
 
Waziri Mkuu wa zamani Ndugu Lowassa hajawahi kuwa Kamanda, in a sense ya kuvaa yale magwanda ya CHADEMA. Nioneshe popote au siku yoyote aliyo vaa hayo magwanda kiasi cha kuitwa Kamanda! HAKUNA!
 

safi sana, kwahio unamaanisha upinzani walishindwa kumuajibisha lowasa na mkewe mpaka ameenda ccm ndo wamemuajibisha! mnakwama wapi cdm
 
Ndo kadhamini sasa.
 
Mtende FISADI hana aibu na haachi asili yake ya uongo uongo na UNAFIKI.

 
Maagizo hao ni watumwa huru,wa mifumo mibovu waliyoiweka.
 
Lowassa Kwisha Habari yake ....kabakia mpiga debe kaama Sheikh Kassim Mtopea ..anaelekea kuwa kama Mrema sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…