Elections 2015 Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo


Pesa za kuwalipa fidia wakazi wanaohamishwa kupisha huo ujenzi zimechakachuliwa sana watu wanalipwa pesa Viduchu ulipaji wa fidia ni wa hovyo hovyo hauzingatii ukubwa wa kiwanja na mali zilizopo ndani, walipaji fidia wamefanya ufisadi mkubwa kwa kuwaibia pesa wale wakazi ambao wana uelewa mdogo juu ya haki zao. Bandari ya Bagamoyo si muhimu kwa sasa.
 
kuna harufu ya ufisadi kwenye hiyo bandari ,,, ya DSM c inatosha bora ingeboreshwa bandari ya mtwara na tanga
 
Hizi contract za bagamoyo ni za deal deal tu , jamaa wanasubir big man aondoke ofisin then wapige chini mradi mzima
 

Bandari hii imejengwa Kama fadhila kwa china baada ya kutoa pesa zote za kampeni ya ccm pia China wataiendesha hiyo Bandari wenyewe kwa mda wa miaka 50 ndipo irejeshwe mikononi mwa Serikali ya Tanzania, Kuna malalamiko mengi juu ya fidia kwa wakazi wanaohamishwa kupisha huo Ujenzi ( kufa kufaana) kuna wajanja wachache Tatari wamepiga pesa nyingi kupitia humo humo fidia kwa kiasi kikubwa ni za hovyo hovyo wanalipa kulingana na Uelewa wa mtu wakiona wewe ni mjanja unalipwa pesa angalau angalau hata Kama kiwanja chako ni kidogo, lakini wakijua wewe huna uelewa wa haki zako unalipwa pesa kiduchu hata kama unamiliki kiwanja kikubwa na nyumba, Lowasa analielewa hili jambo vizuri ndiyo Maana kasema ataupitia Upiya huo mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na kuhakikisha kuwa haki kwa wakazi zimezingatiwa.
 
Hizi contract za bagamoyo ni za deal deal tu , jamaa wanasubir big man aondoke ofisin then wapige chini mradi mzima

Lowasa kaongea na wakazi wa Bagamoyo wamemweleza jinsi wanavyonyanyaswa kwa kulipwa Fidia za hovyo hovyo zisizozingatia ukubwa wa viwanja na nyumba zao. Mkataba huo lazima upitiwe upya kwanza kama kweli utakuwa na umuhimu hao wachina wapelekwe Tanga na Lindi na mtwara wajenge Bandari kubwa huko hapo Bagamoyo wananchi bado fidia zao wamepunjwa kwa kuibiwa kifisadi.
 
Nimeona bora muwekezaji mzungu kuliko mchina.


Niliposikia tu WACHINA, wanajenga BURE, kisha wanatumia miaka 50 bureeeee... chini ya Jeshi la CHINA...!!! NILIJUA TUMEKWISHAAAA...!!! WACHINA wakijenga hiyo bandari na kutumia 50 years free of TAXES... HAKI YA MUNGU... TANZANIA ITABAKI SCRAPERS...!!! Wachina wezi jamani...!!! Hakuna wezi kama wachina... CCM ndio marafiki wa wachina sbb ndio wezi wenzao...!!!

BAGAMOYO PORT is the worst ever contract this Govnt of JK has entered with CHINESE... just like Gas contracts...!!! Mungu tuokoe...!!!
Tanga wangeijenga kubwa sanaaaa.. kwa gharama ya serikali 100%... kisha mizigo yote ya nje ya nchi ipitie Tanga...!!! Hakuna haja ya kujenga Bangamoyo, kwa contract ya HOVYO KABISA DUNIANI...!!!

Lowassa, UKAWA tukomboeni...!!!

Mungu tusaidie jamani...!!! Tumekwishaa..!!!🙆🙆🙆
 
Kujengwa bandari hii ni kufuja hela na kuendelea kwao tuu.
Mtwara na TANGA ndo ziliitaji massive investment kama izi.
Apo kwa kweli big no huo mkataba uvunjwe tuu maana ni Yale Yale ya kutaka kujengwa international airport ARUSHA badala ya Mbeya ili hali KIA iko apo just 50km kwa inchi ambayo such airport hazifiki tatu
 

Lowassa hamuwezi na hata muweza mtoto wa mjini Jakaya Kikwete,wacha ajifurahishe tu,mtoto wa mjini ni wamjini na wa shamba ni washamba tu.Kesha mtangulia milele.
 
Kwakweli hata m sioni kama kuna umuhimu sana kujengwa bandari mpya ya bagamoyo with trillions of money wakat tuna bandari zinazohitaji kuboreshwa tu.
 
Lowassa kweli ni GENIUS...!!! Anaona makosa yote JK anayofanya.. makosa makubwa ya wazi kabisa..!!! Vunja kabisa huu mkataba baba ukiingia tu madarakani... Bagamoyo port ni UFISADI WA KUTISHA...!!! WACHINA WATAMALIZA NCHI HII... huu ni mkataba mbovu kuliko yote Tz...!!

Mungu tusaidie...!!!
 
Lowassa hamuwezi na hata muweza mtoto wa mjini Jakaya Kikwete,wacha ajifurahishe tu,mtoto wa mjini ni wamjini na wa shamba ni washamba tu.Kesha mtangulia milele.


Wee kweli...🐗🐗

Kwanini unaishi..? Hasara tupu wewe.."!😨😨
 

Kwa hiyo pale Bagamoyo hiyo bandari inatakiwa kuserve nini cha ziada anbacho hakiwezekani kufanywa na bandari za Mtwara, Dar na Tanga zikiwekwa vema.
 
Barbarosa tatizo lipo iv.bandari ya dar inatumika hadi kwa mizigo ya kaskazin yaani ni kama bandari ya tanga imekufa.vivo ivyo na ya mtwara kwa kusin wanatumia bandari ya dar.sasa matokeo take tunagawana watumiaji wa kaskazin mwa Tanzania Mombasa na dar kitu ambacho ni kosa.kumbuka kaskazin kuna uwekezaji mikubwa tuu na kuna miji mikubwa.na ukiwa arusha bandari ya Mombasa ni karibu kuliko dar na bagamoyo.sasa kwanini tusiendelee kuboresha tanga kwa ajili ya kaskazin mwa Tanzania na mtwara kusin mwa Tanzania? maana faida ni nyingi kuliko hasara.moja umbali mfupi pili garama ya ujenz mpya wa bandari unakuwa hamna.
 
Ukishaanza kuona nchi inaingia mikataba ovyo ovyo ujue chama tawala kimeishiwa pumzi,kila kitu misaada ndo matokeo yake tunaweka nchi rehani,gesi ndo hivo,madini ndo hivo,misitu ndo hivo,baada ya jumapili watupishe bana,
 
ahadi zingine hizi,
bao la mkono,kutakuwa na jina la mgombea ukawa au kila chama na mgombea wake?
CCM Hao ikulu tena
 
It makes a lot of sense.... hawa kabla ya kuita wenzao wapumbafu na malofa walitakiwa wajipime kwanza sababu haihitaji akili za form 4 mwenye division 6 kujua hii kitu !!

Lakini matunda ya bakuli na dili za tembo, sasa hata kesho utasikia tumezindua mradi wa kujenga vyoo ufadhili china !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…