Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
659
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.

Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.

Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?
 
Akienda kwa wamachinga anawapiga propaganda tu ............. kwa nini asiwambie marafiki zake wawachangie wamachinga 500 kila week ili wapate mitaji badala ya kuzipeleka makanisani kila siku ambako wauumini wanachangia kwa sadaka zao kila week!!
 
Kweli marafiki zake kama huamini angalia picha alopigwa akiwa na waislam mwanza kuna kahindi kamoja kamevaa suit nyeusi kako pembeni yake kamemganda kama mwanamke na mkoba, hao ndio marafiki zake wanaompa pesa!
 
Anachangiwa halafu atawalipaje??hili ndilo swali lililo bahind the scene'
 
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.

Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.

Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?

Lowassa kuwa muwazi kwasababu kuna siku tutakutaka utuonyeshe hao marafiki zako wamekuchangia kupitia account gani na lini na wanatoka wapi na kwa kusudi gani, na utazirudishaje hela zao hapo mbeleni.

Wazo Langu Kwako
Usinunue Mbeleko Mke Hajazaa, maana unaweza kununua mbeleko ikawa mtoto si riziki. Pia kuna mimba za miaka mitatu siku hizi usiwe na haraka.

Mwisho ni kwamba watu wanazitaka hela zako na maumivu yao ya RICHMOND bado wanayapata.
.
 
jizi tu hilo, hayo ni mapesa yake ya ufisadi kwavile ni mafia basi anawatumia watu baki ili aonekane ni msafi.
 
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.

Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.

Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?

MARAFIKI zake ni akina NANI,hili swali lilishaulizwa hapa JF kuhusu marafiki wa Rais ni akina nani?????
 
Awatajeeee,vinginevyo ni yeye mwenye bado anadhani watz elimu ni ya ngumbalo
 
Nyerere alishasema lowasa hafai Huyo anajisumbua bule

Acha habari za Nyerere na aliowachagua, ni nani Nyerere katuambia anafaa na anafaa kweli?

Mkapa, Kikwete au?

Hii nchi bado sana kuwa na viongozi wenye utashi wa kuwatawala wa Tz kwa manufaa ya wa Tz.
 
Juha huyu kama anachangiwa na rafiki zake yeye atawapa nini? au alikwishawapa nini, kama ni marafiki inamaana wako level sawa, je naye huwachangia kiasi hicho cha pesa kwenye shughuli zao? mbona hatuwafahamu hao marafiki zake ambao wanatufadhili kupitia yeye? Mwizi huyoooooooooooooo, tena akatazwe kukanyaga madhabahuni. Kanisa la baba yangu umeligeuza pango la walanguzi na mafisadi, sasa tunawaona kwa macho TZ hapa hapa sio ghuba ya uajemi.
 
anao uwezo wa kushawishi watu wakaona tatizo wakachanga kidogo walichonacho, hata wakati Kikwete anagombea urais mwaka 2005, Lowasa pale Arusha aliwashawishi marafiki zake wakamchangia Sh milioni miatatu (M 300). Mnalikumbuka hili? kama aliweza kufanya hivyo kwa wakati ule kwa nini leo akiongoza mchango wa nyumba za ibada, au mchango wa kupunguza umaskini wewe unamwonea wivu? na wewe buni mpango wako utushawishi ili tukuunge mkono. "Acha wivu wa kike" (Msekwa, 2003)
 
CHADEMA itawalipa nini majambazi ikishaingia Ikulu?
 
Back
Top Bottom