johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtu anayeamini katika matusi ni MSHAMBA kabisaSasa huyu Mapadcock yupo wapi? Dont west ur brain power kwa vitu vya kijinga.
Magufuli is no more. Na uchaguzi gani unaosema mlimchagua Magufuli? Kwamba Magufuli alimshinda Lowasa? Kisha akaja kumshinda Lissu 2020!
Wewe utakuwa ni wa mirembe. Jiangalie nisije kukulima matusi.
Wewe unadhani alishinda nini?Mleta mada una utindio wa ubongo. Kwamba Jiwe alishinda uchaguzi?
Kwa hiyo kwa akili zako wewe watu wenye akili zao wasii na mihemko kama wewe walimpigia kura lissu.?Sasa huyu Mapadlock yupo wapi? Dont west ur brain power kwa vitu vya kijinga.
Magufuli is no more. Na uchaguzi gani unaosema mlimchagua Magufuli? Kwamba Magufuli alimshinda Lowasa? Kisha akaja kumshinda Lissu 2020!
Wewe utakuwa ni wa mirembe. Jiangalie nisije kukulima matusi.
Kweli anatuona,Sasa huyu Mapadlock yupo wapi? Dont west ur brain power kwa vitu vya kijinga.
Magufuli is no more. Na uchaguzi gani unaosema mlimchagua Magufuli? Kwamba Magufuli alimshinda Lowasa? Kisha akaja kumshinda Lissu 2020!
Wewe utakuwa ni wa mirembe. Jiangalie nisije kukulima matusi.
Na akili yako kabisa unaamini Watanzania tungeweza kumchagua Lissu, kibaraka wa mabeberu, badala ya Mzalendo Magufuli?Sasa huyu Mapadlock yupo wapi? Dont west ur brain power kwa vitu vya kijinga.
Magufuli is no more. Na uchaguzi gani unaosema mlimchagua Magufuli? Kwamba Magufuli alimshinda Lowasa? Kisha akaja kumshinda Lissu 2020!
Wewe utakuwa ni wa mirembe. Jiangalie nisije kukulima matusi.
Chadema mnalambishwa asalichawa linalofugwa kwenye makorido ya lumumba linafikir bado linaweza kupata uteuz kwa kumtaja lissu, hilo lilowassa fisadi lilirudi ccm kwa mafisadi wenzake baada ya kuona chadema hakuna mafisadi kama lenyewe.
Kuna akili ya mzoga kuliko inayoaminishwa Lissu alimshinda Magufuli na ikaamini!!?akili za mzoga kumbe bado zilibaki kwa mazezeta ya lumumba mimi nilifikir baada ya mzoga kutoweka na huo ujinga ukatoweka
Kanda ya Ziwa ya wapi hiyo mkuu? Hiihii iliyojaa Sukuma Gangs?huyo magufuli wako alimshinda lissu? yani lumumba na akili zenu za mzoga mnaamini hivyo? huyo dictator angemshinda nani huku kanda ya ziwa tulimnyoosha mpaka akaomba poo kwa kutumia policeccm na asingefanya hivyo saiv angewa chato anakula furu maana Mungu asingemuua lakin kwa ujinga wake alipopora uchaguzi Mungu ni fundi akamyoosha saiv mmebakia na akili zake za kutambika.
Kwahiyo 2025 hamtakuja na ngonjera zenu za kuibiwa kura?sukuma gangs ni kikundi kidogo sana huku kanda ya ziwa na hakina nguvu yoyote dhidi ya chadema na kama huamini wait 2025 ndo utaifahamu chadema kwa mara nyingine baada ya dikiteta kugongwa na lissu mpaka policeccm wakamnusuru.
Kuna kikundi kingine kilitawala Tanzania kikazuwia maendeleo?Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha
Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo
Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na tuzipige vita
Mungu wa mbinguni anatuona mjue!
Basi tukutane 2025.Katiba mpya itakuwepo huo ujinga wa wizi wa kura utaishia makorido ya lumumba
Subutuuuuu yako wewe. Ule ulikua uchafuzi na sio UCHAGUZI acha bangiHili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha
Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo
Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na tuzipige vita
Mungu wa mbinguni anatuona mjue!
Chadema walitawala Jiji la DSM hawakuleta Maendeleo yoyoteKuna kikundi kingine kilitawala Tanzania kikazuwia maendeleo?
SawaChadema walitawala Jiji la DSM hawakuleta Maendeleo yoyote