Lowassa tunampenda na Tundu Lissu tunampenda lakini 2015 & 2020 tuliamua kuchagua Maendeleo. CCM msituangushe!

Lowassa tunampenda na Tundu Lissu tunampenda lakini 2015 & 2020 tuliamua kuchagua Maendeleo. CCM msituangushe!

Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha

Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo

Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na tuzipige vita

Mungu wa mbinguni anatuona mjue!
Ni kwel maana upinzan tuliwapa nchi kutuongoza 19990 lkn wakashindwa kutuletea maendeleo kbs, bora CCM tumewachagua labda tutapata maendeleo!!
 
huyo pascal ufahamu wake wa sheria uko wapi au kukariri vitini na vifungu vya kuwadanganyia mabwege wa lumumba humu jf na wakamwamin ndo unaita anaufahamu wa sheria, Labda tu nikuulize huyo pascal anayosifa ya uwakili? na kama anayo ni kesi ipi amewahi kulitigate na kuishinda mahakamani? kama hana hiyo sifa hana tofauti na vijana wanaosoma LLB huku discussion zao zikiwa na unnecessary arguments hata kama sheria iko wazi, labda tu nikukumbushe huyo pascal amekuwa akiwatambua wale makahaba 19 waliofukuzwa chadema kuwa ni wabunge na amewahi kuandika humu kwamba taratibu za kuwafukuza hazikufatwa hivyo ni wabunge halali amesahau kuwa hata mahakama ikikutia hatian na kukuhukumu lazima hukumu uitekeleze hata kama umekata rufaa sasa yeye na huo ufahamu wa sheria unaosema anao inakuaje hajui hicho nilichokisema narudia kama yeye anaijua sheria aende field ambapo ni mahakamani akaone michuano sio kuleta notes za sheria mitandaoni na kujifanya unajua sheria.

Huu ushindani hauna hata maana. JPM hatunaye, Lissu si raisi.
Wakqti mwinhine inabidi tu tuwajibu hawa wanaodai kuwa JPM aliiba kura, wakati Lissu na EL hawakuweza kuyafikia majimbo yote ya wapiga kura wao, sasa huo ushindi walipataje?mimi nilikuwa mhudhuliaji mzuri wa mikutano yao ya kampeni.
Wakumshinda JPM kwenye duru za uchaguzi hakuwepo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Ndo maana nasema haina maana sababu alitangazwa kuwa ni raisi na leo hayupo kapumzika.
 
Wakqti mwinhine inabidi tu tuwajibu hawa wanaodai kuwa JPM aliiba kura, wakati Lissu na EL hawakuweza kuyafikia majimbo yote ya wapiga kura wao, sasa huo ushindi walipataje?mimi nilikuwa mhudhuliaji mzuri wa mikutano yao ya kampeni.
Wakumshinda JPM kwenye duru za uchaguzi hakuwepo.
Hivi kuna mtu aliwahi kuiba kura kama Jiwe? Jamaa alikuwa ni zaidi ya shetani
 
Wewe unadhani alishinda nini?

Mimba yako haitaki wenye mtindio!!!
Labda alishinda njaa, Jiwe hakuwahi kushinda uchaguzi wowote ule. Ndio maana Watanzania wlipomlilia Mungu baada ya mateso makubwa Mungu akampiga chini kwa Corona
 
Back
Top Bottom