Lowassa tunampenda na Tundu Lissu tunampenda lakini 2015 & 2020 tuliamua kuchagua Maendeleo. CCM msituangushe!

Ni mwendawizimu tu ndio anaweza kuamini kuwa Lissu alimshinda Magu kwenye uchaguzi,narudia tena ni mwendawazimu tu.Kwanza Lowassa na Lissu hawakufanikiwa kuwafikia wapiga kura wao kunadi sera kipindi cha kampeni.
 
Naunga mkono
 
Mtu anayeamini katika matusi ni MSHAMBA kabisa

Miaka ya 1970s ndio Watu walitukanana tena kwa kuandikana ukutani

Dunia imestaarabika na ukiona mtu anatukana leo huyo hana tofauti na nyani wa porini

[emoji817][emoji736][emoji1547][emoji1547]kabsaa
 
Akina mama wa CCM bhana.
Kashapewa khanga anaanza porojo
 
Na akili yako kabisa unaamini Watanzania tungeweza kumchagua Lissu, kibaraka wa mabeberu, badala ya Mzalendo Magufuli?
Unahitaji msaada wa Kisaikolojia.
Mzalendo yupi? Yule aliyetupiga 1.5trillion kimchezo mchezo! Mzalendo yupi yule aliyekataa uwajibikaji ili aibe na vibaka wenzie? Mzalendo yupi ambaye alikataa watu wasiulize kwa nini anakwapua raslimali?
Mzalendo muuaji wa wazalendo ni dracula
JPM mzalendo my foot!
 
Mayala= Njaa. Njaa ikizidi kichwa kinakuwa box tupu.
 
Ni mwendawizimu tu ndio anaweza kuamini kuwa Lissu alimshinda Magu kwenye uchaguzi,narudia tena ni mwendawazimu tu.Kwanza Lowassa na Lissu hawakufanikiwa kuwafikia wapiga kura wao kunadi sera kipindi cha kampeni.
Huu ushindani hauna hata maana. JPM hatunaye, Lissu si raisi.
 
Mtu anayeamini katika matusi ni MSHAMBA kabisa

Miaka ya 1970s ndio Watu walitukanana tena kwa kuandikana ukutani

Dunia imestaarabika na ukiona mtu anatukana leo huyo hana tofauti na nyani wa porini
Usihangaike na huyo Shoga mnufaika wa Ufisadi
 
We mbwiga ulivyompigia wewe Lisu ukajua Watanzania wote walimpigia. Una akili ya kwendea chooni tu, tena choo cha shimo
 
Magufuli nà ccm yake walijichagua wenyewe kwa kupora chaguzi zote za 2019 na 2020. Ujambazi
 
Mzalendo aliyetupambania dhidi ya mabeberu na vibaraka wao, aliyepambana na wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wahujumu uchumi na mtetezi wa kweli wa Watanzania.
 
Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha

Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo

Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na tuzipige vita

Mungu wa mbinguni anatuona mjue!
kwa katiba hii maendeleo ni ndoto !! Miaka 60 ya Uhuru bado tunahangaika na Maji safi, Umeme na Madawati achilia mbali miundombinu vijijini ni balaa.

Huyu mzee bana, kwanza katuzungusha mikono weee huku akijua hatatangazwa...inatakiwa atulipe.
mabadilikoooooo - kumbe moyoni alijua ana tupiga fix.
 
Magufuli nà ccm yake walijichagua wenyewe kwa kupora chaguzi zote za 2019 na 2020. Ujambazi
Katika ma Rais wote, Jiwe ndiyo kaiba nyingi, alipata 35 tu, huku EL akizoa 65
 
Kwa hiyo kwa akili zako wewe watu wenye akili zao wasii na mihemko kama wewe walimpigia kura lissu.?
U know nothing man. Magufuli hajachaguliwa na hakuwahi kuchaguliwa kwenye chaguzi zote alizoshiriki Kapitishwa na tume chini ya nguvu za jeshi la polisi...kama na hilo hujui basi wewe unaishi tu sababu hujafa.
 
Na akili yako kabisa unaamini Watanzania tungeweza kumchagua Lissu, kibaraka wa mabeberu, badala ya Mzalendo Magufuli?
Unahitaji msaada wa Kisaikolojia.
Sema sukuma gang na siyo watanzania, Watanzania wana akili mkuu
 
Huyu mmama cjui anania gani yani daily anakopa[emoji848]
 
CCM wako pale kuhalalisha wizi na dhurma hawajawahi kuwaza maendeleo hata kidogo.
Eti wazalendo 🤣🤣 weziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…