Lowassa tunampenda na Tundu Lissu tunampenda lakini 2015 & 2020 tuliamua kuchagua Maendeleo. CCM msituangushe!

Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha

Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo

Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na tuzipige vita

Mungu wa mbinguni anatuona mjue!
Ni kwel maana upinzan tuliwapa nchi kutuongoza 19990 lkn wakashindwa kutuletea maendeleo kbs, bora CCM tumewachagua labda tutapata maendeleo!!
 

Huu ushindani hauna hata maana. JPM hatunaye, Lissu si raisi.
Wakqti mwinhine inabidi tu tuwajibu hawa wanaodai kuwa JPM aliiba kura, wakati Lissu na EL hawakuweza kuyafikia majimbo yote ya wapiga kura wao, sasa huo ushindi walipataje?mimi nilikuwa mhudhuliaji mzuri wa mikutano yao ya kampeni.
Wakumshinda JPM kwenye duru za uchaguzi hakuwepo.
 
Reactions: Tsh
Ndo maana nasema haina maana sababu alitangazwa kuwa ni raisi na leo hayupo kapumzika.
 
Hivi kuna mtu aliwahi kuiba kura kama Jiwe? Jamaa alikuwa ni zaidi ya shetani
 
Wewe unadhani alishinda nini?

Mimba yako haitaki wenye mtindio!!!
Labda alishinda njaa, Jiwe hakuwahi kushinda uchaguzi wowote ule. Ndio maana Watanzania wlipomlilia Mungu baada ya mateso makubwa Mungu akampiga chini kwa Corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…