Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Atubu dhambi zake aingie kundini mbona madiwani wengi tu wa CCM wameingia CHADEMA sasa ni wazalendo ila SHIBUDA awe kama study case kwenye hili.
 
Ikitokea Lowassa akahamia CHADEMA na kupewa nafasi Kubwa ndani ya chama ninaachana na siasa za upinzani.
 
aisee umetia aibu utu wako kwa uzushi na mbinu za zama za kale za mawe
 
Uchonganishi tu! EL alishasema, hawezi kutoka CCM na asiyemtaka atoke yeye.
 
by Jihan;
Nilikua nakuonaga mtu wa maana sana kumbe umejawa na roho ya chuki ya udini dhidi ya uislam.
Umekosa maneno yote kabisa ya kumtukana huyo mtu hadi utumie neno MAULID kama tusi?
Umenikera sana.


Jihan, "lowasa ni mtume mohamed" (SAW) by madabida!

Mbona hukutokwa povu kwenye hiyo issue ya madabida?? maulid kitu bhana!
 
Last edited by a moderator:
Mbowe anataka kuongeza idadi ya mafisadi chadema..Slaa pia anataka kuwa rais yeye tu
 
AhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWatamsafishaje mpaka atakate. Na mafuta ya manukato au.
Ya TB Joshua yamekataaaaaa sasa watayatoa wapi.

AISEEEEE
 
Hivi CHADEMA si ndio wanaongoza kwa kusema Lowasa ni fisadi na hafai kuongoza nchi!

Kweli siasa ni mchezo mchafu.
 
Umewahi kumpelekea jamaa yako dili la kuokota hela za benki zilizokuwa zinasafirishwa, kabla we hujaokota. Huyu babu ndo CDM na CDM ni yeye. Vijana wote wamekaa kwenye kibodi wanamasifia yeye. Hawezi kuacha nafasi kama hii.
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?
 
Magufuli ni mwizi na hafai kuwa Rais ...ni Mwizi wa kimya kimya...hana maadili na ni mtu anyefanza mambo ya kihuni ..Hana heshima na ndoa yake ..hana muda wa kulea familia ndio maana hata watoto wake wanafeli shule kwa kuwa si mlezi na mwangalizi mwema ...Hafai
 
slaa yupo humu na aje akanushe ili kuondoa utata.
 
Hahahaha...mimi sio mwanachadema but napenda mageuzi...yaani akatwe nyinyiemu akimbilie chadema lol...kura yangu bora nichanechane au nitachora zombii kama watoto wa form four mwaka flani walivyofanya kwenye necta
 
Hivi cheti chako cha milembe ulichukua???

Tulia, acha umbea, ulikuwa unayajua haya?Mirembe ipi unaizungumzia?inaonyesha wazi kuwa kushadadia mtu hadi kumwambia arudi shule ndivyo hata wadogo zako wanavyokuambia

Jitu zima kuwa lizandiki ni laana. Tafuta kazi ufanye itarudisha heshima yako kuliko uzushi
Unajua maana ya jitu?
Mkuu mbona unajidhalilisha???

Nielekeze nimejidhalilisha kivipi?
 
Back
Top Bottom