Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Songea kimenukaaaaaa....muda huuu ni CCM... CCM...CCM..CCM...CCM rais...raisiiiii...messiah....Yesuuuu...
Yesuu... Mkomboziiii....Lowasaaa... yaaniiiii.... CCM wamekinukishaaaaaa...

Maaamaeeeeeee....uwiiiii...mamaaaa...eeheh... hawa watu watakuwa wa msumbiji labda... hadi vikongwe wanabebwa na matoroli... matoroli yanabeba walemavu na vikongweeeee... kimanukaaa hukuuuu... Astagifirulahiiiiiii....!!! 😂😨😨😨😨💨💨💨👍👍👏👏👏👏🏃🏃🏃🏃🙆🙆🙆💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Songeaaaa....wadhamini elfu 53 watokeza kwa Rais mtarajiwa...EL !!"
 
Rais mtarajiwa, mpango wa Mungu, EL apata wadhamini elfu 53 Songea... hii sasa ni kibali toshaaa...!!! Mungu ww ni Mungu...ufalme wako utukuzwe..."!!
 
Wacha watafute nje ya ccm ila sio kwako lowasa tumechoka serikali za tuhuma za ufisadi Lila siku ila ww utufai kuwa rais bwana lowasa
 
Lowassa ni shetani, aende kwa maibilisi wenzio huko ACT, wanaompenda Lowassa wakamfuate huko wakanywe naye chai
 
Mm! Labda lkn si rahisi ukawa wakamsimamisha mtu mchafu kiasi hiki wakati wao wako kinyume na ufisadi.
 
Taarifa zinaeleza kuwa hali ndani ya CHADEMA imezidi kuwa tete mpaka sasa baada ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbroad Slaa, kutishia kurudisha kadi ya Chadema na kuachana na siasa za Chama hicho kama Mbowe ataendelea kumshawishi na kumuomba Lowassa ajiunge na Chama hicho ili awe Mgombea wao wa Urais.

Dr. Slaa ameonyesha msimamo huo muda mfupi kabla ya Lowassa hajaahirisha mkutano aliotaka kufanya na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Masaki kuhusiana na hatima yake hiyo.

Slaa amekihakikishia chanzo chetu cha habari kwamba yeye humuungi mkono Mbowe kwenye mpango wake huo wa kumtaka Lowassa.

Kijana mmoja wa Chadema ambaye yupo karibu na Mbowe amethibitisha kwamba Mbowe yupo tayari hata kumfukuza Chama Slaa ili Lowassa awe Mgombea wao. anasema Mbowe anaamini kwamba Lowassa ataipeleka Chadema madarakani.

Kwa sababu ya mpasuko huo, timu ya mkakati ya Lowassa imeamua kuahirisha mkutano wao na waandishi wa habari uliokuwa ufanyike leo saa tano asubuhi hii kama ambavyo Mbowe ameomba ili kwanza wamalize tofauti zilizojitokeza Kati yake na Slaa.

Ikumbukwe kwamba hivi Sasa Slaa ana mvutano mkubwa na viongozi wenzake wa UKAWA ambapo analazimisha yeye ndio awe Mgombea.

Tayari Mzee Edwin Mtei ametumiwa ndege ili aje Dar haraka kumshawishi Slaa akubali kumpisha Lowassa kugombea urais.
 
Kaambiwa ahirishe kuna nafasi nyeti atapewa kama magufuri akiwa raisi
 
Unachekesha sana mkuu,lowassa hawezi kupokelewa chadema,hivyo ndivyo ninavyoamini mimi,ingawa ktk siasa lolote laweza kutokea cuz hakuna permanent friend or permanent enemy.
 
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?
 
Back
Top Bottom