OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
maelezo ni haya figganigga kapotoshaooooh!
Samahani, nilidhani umeitoa kwenye credible sources kumbe ni hilo gazeti la udaku, alafu ni kichwa cha habari tuu, maelezo yake ndani yanaweza kuwa tofauti kabisaaaaa!
Nasikitka kwa jambo hili . Soma mtanzania gazeti la leo .Mbowe amesema kuwa Anaona kama CCM wanamwamini sana Lowassa akasema UKAWA wanamsubiri ulingoni wao hawamhofii ni cha mtoto tu na hatamweza mgombea wa ukawa kwani kocha wa yanga akisema nawataka simba hata kesho maana yake simba ije kuwachezea mechi? hata kama tunaishi bara kiswahili si kigumu hivyo
Last edited by a moderator: