Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Ni vema akafungasha virago sasa. Asisubiri hatu ya mwisho. Aende zake huko ACT
 
Lowassa, Mungu kaangazia Tanzania, ni ngumu kushindana na mpango wa Mungu....
 
Chadema/ukawa kumchukua Lowassa ni vigumu zaidi kuliko Richmond na escrow
 
BAVICHA pia wamemkubali sanaaa...Mungu ni wa ajabu sana...jiwe la pembeni walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu...

Naona viroba vimeanza kazi yake baada ya kutiwa chai ya rangi,ungepata supu
 
Parkinston disease bahati mbaya haina dawa. Stress hufanya ugonjwa uongezeke kwa kasi sana.
Be warned Lowassa!
 
Hayawi hayawi mwisho yamekuwa. Ule usemi unaosema chanini mwenzio anasema atakipata lini ndo umetimia. Na leo ndo nmeamini Chanda chema huvikwa pete.

Hakika wale wageni wa siasa inabidi waamin usemi wa kwenye Siasa, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.

Nawatakia kila la kheri.
bora mzazi wako angekubana kwenye mapaja wakati anakuzaa ufe usije duniani maana wewe ni hasara kwa taifa. sasa ndio umeandika nini?

vile vile kamamzazi wako alikupeleka shule bora angekuja hapa riverside anywe pombe atengeneze kitambi maana alipoteza pesa yake kukupeleka shule
 
Kosa la kupiga kampeni kwa kisingizio cha kutangania na kutafuta wadhamini mara hii halitamwacha salama! Kwenye kapu hilo wapo wote waliotangaza nia kwa kufanya kampeni labda Makongoro tu ndo anaweza salmika, ila ENL, MLN, MPM, JYM,BCM,WN, FTS na SMW wote manzi ga nyanza! wote lazima wapate msukosuko!
 
Ni baada ya kuona upepo unaenda wapi....wamekiri Lowassa ndio kama YESU sasa...!!! kila goti litapigwa...!!!

Uj.nga huu ulionao hauwezi kukuisha kamwe. Yesu=Mungu halinganishwi na fisadi
 
"Wote mnaoniunga mkono katika safari ya matumaini, endeleni na safari, najua kuna milima, miiba na mabonde endeleeni na safari popote mlipo......Huku juu niachieni Mimi" .....Lowassa

From friends of Lowasa WhatsApp group
 
Back
Top Bottom