Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Mkuu vip? mbona mada yako haieleweki? umepiga kitu cha Arusha au cha Mbeya!!
Kapiga roshoroo huyo na kloriti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vip? mbona mada yako haieleweki? umepiga kitu cha Arusha au cha Mbeya!!
Kuwa na adabu basi
sio wote humu machizi chizi
jiheshimu huwezi acha kuni quote....
Mkuu vip? mbona mada yako haieleweki? umepiga kitu cha Arusha au cha Mbeya!!
Haki ya nani nyie mapopoma!Hayawi hayawi mwisho yamekuwa. Ule usemi unaosema chanini mwenzio anasema atakipata lini ndo umetimia. Na leo ndo nmeamini Chanda chema huvikwa pete.
Hakika wale wageni wa siasa inabidi waamin usemi wa kwenye Siasa, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Nawatakia kila la kheri.
Hayawi hayawi mwisho yamekuwa. Ule usemi unaosema chanini mwenzio anasema atakipata lini ndo umetimia. Na leo ndo nmeamini Chanda chema huvikwa pete.
Hakika wale wageni wa siasa inabidi waamin usemi wa kwenye Siasa, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Nawatakia kila la kheri.
Haki ya nani nyie mapopoma!
Hivi mmetumwa na kulipwa kiasi gani?? Mtakuja kufa kwa presha, huyu fisadi wenu keshachinjiwa baharini, mpeperusha bendera wa sisiemu ni yule mzenjibari. Hivi mna familia kweli nyie?? njaa kitu kibaya sana!
MR.PRESIDENT
Eeeh, Mungu ukisema ww nani mwingine atapinga..!!? Hakika hakuna..!!
Tunakupa sifa na utukufu kwako kumleta mwanao wa pekee, na hata ukatupenda watanzania na CCM yetu, ukatuletea Lowassa kwa wakati sahihi...!!!
Mungu na mapenzi yako yatimizwe Duniani na hata Mbinguni...!!! 🌈🌈🐒🐒🐒🐒
unaumwa wewe!

Umechanganyikiwa wewe!Eeeh, Mungu ukisema ww nani mwingine atapinga..!!? Hakika hakuna..!!
Tunakupa sifa na utukufu kwako kumleta mwanao wa pekee, na hata ukatupenda watanzania na CCM yetu, ukatuletea Lowassa kwa wakati sahihi...!!!
Mungu na mapenzi yako yatimizwe Duniani na hata Mbinguni...!!! 🌈🌈🐒🐒🐒🐒
Unapenda taarab eeehh...!!! mchezo mchafu ndio kazi yako...!!!
Hapa hatufanyi ukafiri, tunamwongelea mwana pekee wa Mungu, Mh. Lowassa, mpango wa Mungu, taarab kale nayo malimaoooooooo....!!!!
Teh Teh sijui Bavicha wataziweka wapi sura zao!
Lowasa yupo kwa wakati muafaka wa kuua ccmEeeh, Mungu ukisema ww nani mwingine atapinga..!!? Hakika hakuna..!!
Tunakupa sifa na utukufu kwako kumleta mwanao wa pekee, na hata ukatupenda watanzania na CCM yetu, ukatuletea Lowassa kwa wakati sahihi...!!!
Mungu na mapenzi yako yatimizwe Duniani na hata Mbinguni...!!! 
Huyu fisadi mkuu mnamuabudu