TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wangu Dkt Pombe Magufuli au Prof Muhongo ndo wagombea Sahihi otherwise tuangalie jirani atakuja na mali ipi, Sifa ya Msingi kwa mgombea kutoka CCM ni kupata mtu asiemuonea aibu Mtu, Jk sababu kubwa ya kushindwa kwake ni kuwaonea aibu watu wake, Chadema angalau ilimsaidia kupunguza kasi ya wanamtandao maana walimzingira kama nzi kwny Kidonda lakini angalau ilisaidia
UKAWA wakatae dhahabu...!!? Hujaona bungeni wabunge wa UKAWA NDIO WA KWANZA kuwahi zile posho mamilioni 230 kwa kila mbunge..hakuna naliyepinga...wako kimyaaaaaa...
Sasa wamkatae Lowassa...!?
Unakijua chama hicho kuliko waliokianzisha?
Wamkate mara ngapi?
Lowassa akiwa Mkoani njombe amerudia kauli ya baba wa taifa"amesema"wananchi wanahitaji mabadiliko,wasipoyapata ndani ccm watayatafuta nje ya ccm"
My take:Kwa kauli hii ni wazi kabisa ccm wakimkata lowassa yupo tayari kwenda kuyatafuta hayo mabadiliko nje ya ccm
Nje ya Ccm ni wapi?Ukawa hawawezi kumpokea,Kachafuka sana,ukawa ni sehemu ya watu safi tu.
Nadhani yale yasemwayo kuhusu ACT wazalendo na lowassa yanaenda kutimia before octoba
Source:Itv Habari
Lowassa, Mungu kaangazia Tanzania, ni ngumu kushindana na mpango wa Mungu....
Kata muone msipo tubu wote
Wameshamkata tayari jiandae kisakolojia.
Hivi ni chama gani kitakataa kumpokea mtu anayekubalika kiasi hicho kwa wananchi? Hii kitu ya ufisadi kwa Lowasa inaonekana haifanyi kazi. Ukawa watakuwa wajinga kabisa km wataacha kupokea huu mtaji mkubwa namna hii wa kura. Tunachotaka ni ccm kuondoka madarakani kwa njia halali au zisizohalali! mambo mengine tutayarekebisha tukishachukua nchi. Chonde chonde ukawa Lowasa akija msiache kumpokea. na hilo likitokea chukueni mpaka kina zitto tuchukue nchi kwanza mengine tutawekana sawa baadAYE. hIZI NDIO NJIA ZINAZOWEZA KUKIANGISHA CHAMA TAWALA.
Hiyo mbinu mliyokuja nayo ya kutisha ccm sijui kama itasaidia kumuokoa huyu fisadi mkuu. Subirini tu apewe kichapo ndiyo utakapogundua kuwa hakuna aliye mkubwa kuliko chamaWandugu,
Kila mmoja ameshuhudia jinsi Mh Lowassa alivyotikisa nchi. Watu wenye mawazo madogo wanasema jamaa anatumia pesa. Jiulize huyo jamaa ana trillion ngapi? Ukweli nyota yake imeng!aa na anakubalika na zaidi ya 60% ya wana CCM. Kama CCM wana ubavu basi wakate jina lake. Ataondoka na halmashauri kuu pale mkose hata coram ya kuendelea na kikao na CCM itakuwa kmezikwa rasmi siku ile. CCM haina njia ya mkato, mpitisheni mtu anayeungwa mkono na wanachama wengi or else?
Unalipwa sh.ngapi kumsafisha huyu mchafu mwenzako?
Wala hanijui, sina association nae... but thru CCM, deep within my heart, my soul and looking the mass following him, huku maisha yalivyo kwa wengi, na hayuko serikalini na bado KAWA LULU YA WATANZANIA, inaonyesha waziwazi, HUYU NI MESSIAH...!!" Ni Lowassa pekee ndie anamvuto wa kisiasa, kiuchumi, kijamiii kwa sasa kuliko wote watia nia, tena kawaacha mbali sana...!!!
Lowassa ni mpango wa Mungu...!!!