Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 562
Wakimleta Lowasa CDM tunamgeuzia kura zetu zoote Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwapo CDM itampitisha Elowassa huo ndio utakuwa mwisho wake.Na iwapo Mbowe anafanya jambo hilo basi ajue rasmi anajimaliza kisiasa yeye mwenyewe na chama chake.
CHADEMA haiwezi kumkaribisha Lowassa hata kuwa mwanachama wa kawaida tu kwani ananuka ufisadi na tabia ya kutaka madaraka kwa mapesa. Huyo aende ACT ndiko watakakoelewana.
Ikitokea Lowassa akahamia CHADEMA na kupewa nafasi Kubwa ndani ya chama ninaachana na siasa za upinzani.
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?
Uchafu wa Lowassa hauvumiliki. CHADEMA itanuka wakimpokea Lowassa. Hata kama Sitta alikuwa na matatizo wakati wakiwa tayari kumpokea hapo mwanzo lakini alikuwa hajanuka kama Lowassa
Taarifa zinaeleza kuwa hali ndani ya CHADEMA imezidi kuwa tete mpaka sasa baada ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbroad Slaa, kutishia kurudisha kadi ya Chadema na kuachana na siasa za Chama hicho kama Mbowe ataendelea kumshawishi na kumuomba Lowassa ajiunge na Chama hicho ili awe Mgombea wao wa Urais.
Dr. Slaa ameonyesha msimamo huo muda mfupi kabla ya Lowassa hajaahirisha mkutano aliotaka kufanya na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Masaki kuhusiana na hatima yake hiyo.
Slaa amekihakikishia chanzo chetu cha habari kwamba yeye humuungi mkono Mbowe kwenye mpango wake huo wa kumtaka Lowassa.
Kijana mmoja wa Chadema ambaye yupo karibu na Mbowe amethibitisha kwamba Mbowe yupo tayari hata kumfukuza Chama Slaa ili Lowassa awe Mgombea wao. anasema Mbowe anaamini kwamba Lowassa ataipeleka Chadema madarakani.
Kwa sababu ya mpasuko huo, timu ya mkakati ya Lowassa imeamua kuahirisha mkutano wao na waandishi wa habari uliokuwa ufanyike leo saa tano asubuhi hii kama ambavyo Mbowe ameomba ili kwanza wamalize tofauti zilizojitokeza Kati yake na Slaa.
Ikumbukwe kwamba hivi Sasa Slaa ana mvutano mkubwa na viongozi wenzake wa UKAWA ambapo analazimisha yeye ndio awe Mgombea.
Tayari Mzee Edwin Mtei ametumiwa ndege ili aje Dar haraka kumshawishi Slaa akubali kumpisha Lowassa kugombea urais.
We we we halafu we dereee! Mbowe achana na mpango wako huo kama ni kweli hili, hata Mrema mwaka 1995 alifanya hivyohivyo kwa chama cha NCCR na NCCR ikafa hadi leo hii imepoteza hadhi. Lowassa na Zitto ni ndugu ya CCM wana masilahi mapana ndani ya CCM kuliko CDM, msije mkafanya kosa la kiufundi kama hili. Naunga mkono Lowassa kujiunga na CDM lakini sio kuwa mgombea urais.Taarifa zinaeleza kuwa hali ndani ya CHADEMA imezidi kuwa tete mpaka sasa baada ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbroad Slaa, kutishia kurudisha kadi ya Chadema na kuachana na siasa za Chama hicho kama Mbowe ataendelea kumshawishi na kumuomba Lowassa ajiunge na Chama hicho ili awe Mgombea wao wa Urais.