Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Mh! sidhani.. embu ngoja tuvute subira.

inawezekana kabisa,ile ukawa kusema watamtangaza mgombea wao ndani ya siku sita ni kiashirio tosha,kwani mwanzo tulijua ni slaa,sasa kama ni slaa haiwezi chukua siku zote hizo.
wanaodai kuna msuguano kati ya chadema na cuf,wamepotezwa maboya,magdalena sakaya kasema wazi hakuna kitu kama hicho.

ni wazi kuwa magufuli kawastua na wameamua kujilipua kwa kumkaribisha lowasa
 
Kama shibuda tulimpokea na si msafi, basi lolote linawezekana chini ya jua !!! There is no permanent enermy in politics
 
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.

Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.

Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?

Lowassa UMESHAJIPOTEZA Rasmi Kisiasa.
KAMA NI KWELI, As unbiased and independent ANALYST, hilo litakuwa anguko takatifu la CHADEMA NA UKAWA.

6
 
Mwaka uu tutashuhudia mengi sana maigizo ya kila namna. Mungu tuvushe salama
 
UKAWA watakuwa wamefanya kosa kubwa sana, Uadilifu tunaouimba kila siku utatoka wapi mbele ya mtu tuliyemwima FISAADI miaka yote hii? labda km kuna mengine yamejificha lkn naanza kukosa raha
Wana siasa sio watu wa kuwasikiliza sana na kuwa amini wako dynamic.
 
Kuja anawaeza kuja lakini si kugombea urais ye awaambie tu wafuasi wake wampe kura Dr slaa
 
Bora lakini atasafiri safari yake ya matumaini japo hatafika wangapi wanasafiri wanaishia njiani
 
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.

Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.

Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?

Lowassa UMESHAJIPOTEZA Rasmi Kisiasa.

sintashangaa hata kidogo lowassa kuhama ccm, hata Nyerere aliwahi kusema CCM sio mama yake anaweza kukihama
 
Nimesikia hii kitu nikataka kuitoa hapa lakini Ma-moderator wa siasa wanavyojitia kujua siasa kumbe weupe ni kaamua kuiacha!Na kwakuwa anaenda chadema CCM jiandae kuwa chama cha upinzani kwakuwa hata wabunge sasa wanamuogopa magufuri kwakuwa hana ushawishi!
 
Page ya 5 sijaona Afisa Habari yeyote au mtu wa karibu kukanusha habari,hizi!!silence means YES,sitaki kusimuliwa nasubiri mwenyewe kwa macho yangu maajabu haya.Ila tu nataka kusema kama kweli ipo hivyo,sasa Chadema malengo yetu kuingia ikulu ni nini?
 
kitendo cha kingunge pia kuongea leo ni kiashirio kingine,ndo maana pia kasema kuwa yeye ni mwanachama wa ccm no 8,na kama ataamua kutoka ccm atawambia kama ataamua.

ni wazi kuwa wazo la kutoka lipo ndo maana kina mbatia wameongeza siku tano za kumsubili lowasa.
na ndo maana pia lowasa hataki kuongea yuko kimya.
 
masista duu mna shida,nikikupa muhindi wa kuchoma barabarani hutaki,pop corn sinema mnataka!
Ha ha ha. Chezeiya Masista Duu wewe?!! Muhindi wa kuchoma umepigwa na jua na pengine mvua - mgumuuuuu! Popcorn lainiiiii halafu zimehifadhiwa 😛opcorn:. Ngoja niendelee na uzi maana page zinaongezeka balaa..
 
Ndio maana ya siasa hiyo..
chama si mama mzazi.
Usipokubalika pa nini ?
 
Kwa mazingira yalivyo ni Lowassa mwenyewe kuamua kuacha Magufuli aende au yeye.

Ukweli wa mambo fursa ya Lowassa kuwa Rais wa awamu ya tano ilikuwa wazi na mfumo mbovu na wa kidikiteta ndio umedhulumu haki hiyo.

Na hapa ndiyo athari za moja kwa moja za kukosa mgombea huru kikatiba zinajitokeza wazi. Si haki na wala si halali kuwa lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa ili upate dhamana ya chama kugombea nafasi ya Urais.

Kwa upande wa Edward Ngoyai Lowassa ni maamuzi yake either aendelee kuwa ndani ya Ccm akose kabisa hiyo bahati ya kuwa mkuu wa nchi au atoke na kujiunga na chama chochote kitakacho mpa nafasi ya kusimama kama mgombea kujaribu karata yake.

Mfumo uliotumika ndani ya CCM kuteua mgombea ulikuwa wa kidikiteta mno na lazima wachambuzi wa wasomi wawe wa kweli kuhusu hilio.

Mzee lowassa kanyang'anywa tonge mdomoni!!
 
Back
Top Bottom