Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] haa hahaha

Ukiona hivo ujue huyo uzazi wake wote wauza wanzuki...no connection at all

Hakuna wa kushtaki
Haaa haaa haaa ,wauza wanzuki na kayoga, wasiotajwa niwashika miguu ya kuku uwii dunia hii mji mzito huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu kam wewe sijui nakuonaje tu aisee...sijui ni umri wako ndo mdogo au ni mjinga mjinga labda.

Unakuja mitandaoni kumsema mtu na maisha yake inakusaidia nini sasa,unakua umekosa cha kufanya?
 
Binadamu kam wewe sijui nakuonaje tu aisee...sijui ni umri wako ndo mdogo au ni mjinga mjinga labda.

Unakuja mitandaoni kumsema mtu na maisha yake inakusaidia nini sasa,unakua umekosa cha kufanya?

wewe kuja kwenye huu uzi na kuweka comment ni kwamba huna cha kufanya? Au inakusaidia nini? Jitafakari inawezekana wewe ndo mwenye shida. kuna majukwaa kibao ya wasomi kama wewe huko kwenye siasa na jamii intelligence….huku waachie wenyewe..
 
Binadamu kam wewe sijui nakuonaje tu aisee...sijui ni umri wako ndo mdogo au ni mjinga mjinga labda.

Unakuja mitandaoni kumsema mtu na maisha yake inakusaidia nini sasa,unakua umekosa cha kufanya?
Mkuu huoni aibu kusoma Uzi wa mtu unayeona hana kazi.
Wewe mwenyewe mpenda umbeya umesoma Uzi wote huu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…