Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
“Heart machine” nae anapigwa makita?
Huyo niliambiwaga zaman na dogo m1 anapenda penda kuimba ..aliendaga kwenye studio yao nadhna maeneo ya kiwalani nadhan..alikua na yule herri muzik..unambiwa dogo alishuhudia wanakulana denda studio huyo jamaa na manager wao anaitwa ki...... nilishangaa sana
 
Hahaa huyo mraiq kumbe na yeye amewahi kuwa punda sikuhizi amestaafu au kitu gani?
Ila huyu mbulu kuna Uzi alianzishiwa humu naona amepunguza kumpost yule mumewe hovyo
Alikua punda Sana'a tu hata baba first born alikamatwa kwa mambo hizo shoooo!!!tena yule na mama deladela ndo lao moja walikua wanabeba kwa boss mmoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa watu wa instagram wanajisikiaga vipi kuwaga tofauti na uhalisia wao?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…