cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Huyo kumi na mbili hata sio siriIla huyu kumi na mbili anaga hizo mishe Sema watu wanamuongelea tu vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kumi na mbili hata sio siriIla huyu kumi na mbili anaga hizo mishe Sema watu wanamuongelea tu vibaya
Huyo niliambiwaga zaman na dogo m1 anapenda penda kuimba ..aliendaga kwenye studio yao nadhna maeneo ya kiwalani nadhan..alikua na yule herri muzik..unambiwa dogo alishuhudia wanakulana denda studio huyo jamaa na manager wao anaitwa ki...... nilishangaa sana“Heart machine” nae anapigwa makita?
E e e e e ee hatar hiiHilo Koo sabb ya kunyonya ndonga
Back then kafanya sana hizoo!wakishua ujue ndo mambo zao wengi hawa 'junior, junior don't touch my shoes"wanapenda hyo michezooHeee! Kumbe jiko la wazi nae anakoboana????
Ex wa ex wa [emoji184][emoji184][emoji184][emoji184][emoji184][emoji184][emoji184][emoji184]Reymage nifungulie code ya mr singel
Alikua punda Sana'a tu hata baba first born alikamatwa kwa mambo hizo shoooo!!!tena yule na mama deladela ndo lao moja walikua wanabeba kwa boss mmoja!Hahaa huyo mraiq kumbe na yeye amewahi kuwa punda sikuhizi amestaafu au kitu gani?
Ila huyu mbulu kuna Uzi alianzishiwa humu naona amepunguza kumpost yule mumewe hovyo
Hivi hawa watu wa instagram wanajisikiaga vipi kuwaga tofauti na uhalisia wao?Niliwai kuwa na michongo flan na marehem..yule aliekua na huyo kimbau mbau enz hzo. Kuna siku sasa nilimwona live huyo bibie...daaaaah.aisee...yan ki virus chake inaonekana si cha nchi hii....ila nashangaa kweny instagram anaoneka mnana sana sasa sielew ndo filters ama nn...halaf kalikua na mimba sasa..ni balaaa
Yan wanajiona wako mbele kwakweliHivi hawa watu wa instagram wanajisikiaga vipi kuwaga tofauti na uhalisia wao?
Hutaki shida
Asante japo sijapoa naunga hivyo hivyo.
Ila wanatendea haki maisha , ukimwi upo tu kuugua si kufa[emoji8]Daahhh!!!mjini ukimwi unazungukaaa...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakupeleka lemax pale walipotoana rohoHaujui mji huyuu...atoke atembee aende bar za mjini, Kitambaa cheupe,mwananyamala,gavanaz,cousin lonji,ze lux,n.k atajua!kutwa mnaenda high profile bar hata umbea hampigii siendi miyee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibakuli cha mboga...
Reymage nifungulie code ya mr singel
Back then kafanya sana hizoo!wakishua ujue ndo mambo zao wengi hawa 'junior, junior don't touch my shoes"wanapenda hyo michezoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua punda Sana'a tu hata baba first born alikamatwa kwa mambo hizo shoooo!!!tena yule na mama deladela ndo lao moja walikua wanabeba kwa boss mmoja!
Sent using Jamii Forums mobile app