Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kingine anauzaga wa dada yaani km cariha ukienda dukani kwake akakuelewa anakutaftia danga anakwmbia kabisaa ukale maisha labda south,dubai etc si ndo jina la director lilipotokea huko wema alishamdalalia sanaa sema ndo hvyo tena huoni mwanae anasukuma range
Kumbe yuko vizuri na kwa connection za life yule,it seems kina wema wameuzwa sana basi tu kichwa panzi, hata bintiye director kazaa na yule wa GSM kitoto kimefanana na baba yake hatari
 
Kingine anauzaga wa dada yaani km cariha ukienda dukani kwake akakuelewa anakutaftia danga anakwmbia kabisaa ukale maisha labda south,dubai etc si ndo jina la director lilipotokea huko wema alishamdalalia sanaa sema ndo hvyo tena huoni mwanae anasukuma range
Halafu director alitengana na mmewe ujue akawa anadate na kikaka nimesahau jina lake...juzi hapa naskia karudisha majeshi kwa mzee baba! Nilichoka yaani hawa wadada hawajielewagi mnoo...wanataka kuolewa kwenda kuona mkato wa chumba tu,siku mbili wanaendeleza kudanga uhuni wao mtu umeolewa kutulia hutaki chaahh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah huyo initial ya dijeu ujue aliambiwaga aache kazi pale mawinguni akafunguliwa duka kubwa la nguo na mtoto juu wa kiume na yule tajiri wa usafirishaji mwenye jina la maombi sema ndo hvyo demu wa kitelephoni akamnyakua na tatoo ya jina lake akachora chezea nyakunyaku wa mji
Ndo mana ss hv amerud tena redioni kutangaza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom