Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kumbe yuko vizuri na kwa connection za life yule,it seems kina wema wameuzwa sana basi tu kichwa panzi, hata bintiye director kazaa na yule wa GSM kitoto kimefanana na baba yake hatari
 
Halafu director alitengana na mmewe ujue akawa anadate na kikaka nimesahau jina lake...juzi hapa naskia karudisha majeshi kwa mzee baba! Nilichoka yaani hawa wadada hawajielewagi mnoo...wanataka kuolewa kwenda kuona mkato wa chumba tu,siku mbili wanaendeleza kudanga uhuni wao mtu umeolewa kutulia hutaki chaahh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana ss hv amerud tena redioni kutangaza.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…