Heheheheh Quick rocka mtu wa madem sana kwa haraka tu ni mtu wa nyama za binadamu😂 so kumla ni pie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndo hapo sasa et alikua
Anaona ugumu kwenda home na kurudi jion
Sasa anakua anaenda Kwa mchiz
Kupga story na wenzake
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Walikua wanadate
Ukitaka kizuri lazma udhurike😂[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] warabu pesa Yao haitok
Hiv hiv jaman lazma ugaramike[emoji2][emoji2][emoji2]
Mchongo hamnaAcha waolewe tu huyo nenga si graduate kabisa
Sahihi aisee maisha sio lelemamaYah mbinu chafu na mpaka upate mtu akupe line ya maana [emoji23][emoji23][emoji23] wengi wanawahigi wakiingia kwenye chain ya ngano! Ila kinyume na hapo utasaga lami tu
Show off huwa zina wa cost hawa viumbe pia hu attract hivo eyes, hawana Siri kabisa hafu biashara zao haramHahahahah kumbe muuza kitimoto wa “Mapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa maisha yapi yale mara wako “Bali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
Za jau jau ila waki push rovers wanaonekana wana maisha!Show off huwa zina wa cost hawa viumbe pia hu attract hivo eyes, hawana Siri kabisa hafu biashara zao haram
Na bongo hii watu kuufamya utajiri uwe na sustainability huwa ngumu wa Asia ndio huwezaYes unaweza kurithi UTAJIRI ndo kuupata ishu itakuja kwenye kuumiliki YAANI KUULINDA INATEGEMEA na upatikanaji wake yaan source yake ulipatikana vipi...Kama njia safe Basi utaulinda kwa njia hizo safe Kama njia mbaya the same...
Ulaaniwe mwenyewe kwa kuwa mjinga na kutaka watu wajadili utakacho kuwa eti ni kipimo cha akili. Laana yako fake ikupate wewe na kizazi chakoUzi wa wapumbavu na kwa ujinga huu ccm ndio furaha yao kwasababu hamuwasumbui kuwaza hatma yenu na ya vizazi vyenu ambayo wao ccm hawataki muijadili wanafurahi wakiona mnajadili maisha ya watu hivyo Basi nyie wote mnaochangia Uzi huu mlaaniwe na ni wasaliti wa vizazi vyenu vijavyo.
Ku break ile vicious cycle of poverty sio kazi rahisi inahitaji sweat and blood wallahUna hustle na hela haionekani..msululu wa wategemezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaani we jamaa nimecheka kifala Sana leo hizi komenti zako bwahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo lake ni kiokote [emoji28][emoji28][emoji28] yeye anazagamua chochote kinachomkalia mbele
Na bi mkubwa akifa ndio downfallYule mama nuksi haoni shida kuwagongea nane usiku halafu hana hata cha maana anachohitaji kwa mwanawe...na akiona mwanawe anaanza kufall tu anatengeneza zengwe mpk mnaachana
Kama bosslady baada ya kuona kijana atanogewa akaambiwa mobeto abebe mimba,baadae mobeto nae akasalitiwa alivoona mkaka bado anakomaa na mama watano akaenda south alichoenda kufanya anajua mwenyewe ila alivorudi tu UA jeusi likatawala na mambo yakaishia hapo.
Yule kaka hawezi oa mpk bimkubwa ake afe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingeisha angeshatu postia hyo nyumba, nakumbuka aliumbuliwa na pazia lile lile tu siku zote compared to show offZenji kila baada ya wiki mbili na familia nzima..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ile nyumba alipostigi anajenga ilishaisha?
Me inbox jamaa mmoja muongo muongo SanaSponsor WA uwoya ni Nani?
Labda kajibadilisha sikuhizi wanaenda Turkey ma dr wakule wako cheap sanaHapa juzi Kati sista alibadilika sura
Wana nyusi za bey wale yaani paji la uso ni hey mtupu ila vingine vyote vya jigaSi kama Beyonce kwa jigaa...daah wale watoto midomo, miguu na pua yote ya Jay
Hakuna mtoto ambae kidogo kaja kwa bey
[emoji23][emoji23]mzee anaupiga mwingi sanaKimti aliwahi sema Mr inbox anakula wagonga meza huko ugogoni city
Huyo jamaa mbona analika fresh tu yaaniHV hako jamaa siku uwoya akitoweka sikataanza Tania za kipunga maana..
Daily anatelezea Ganda la uwoya .
Kushika ukuta kunamuhusu badae
Yaweza kuwa Plus madawa madawa kutoka igungaUsikute bimdashi mamantilie ni mtaalamu wa kupika biriani yai na kuku kuliko ugali
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]huyo mitindo naskia chawa tu nilipata umbea wake ,wakiwa China kazi yake kubeba mizigo ya watu [emoji1][emoji28]Sema kavalishwa Pete na mdogo
Wake
Alaf shishi alikua anajarbu nae
Kumfokea kibe10 wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa!!!Yaani Sana hakuna utajir wa hiv hiv
Ndo maana mashoga wanaongezeka
Kwakuona mashart n magumu
Bas wanapelekewa Moto