Naskia wametengana na mkewe....!!hamisa na JoJo wote wasaka fursa wako kimaslahi na nafikiri wamemtumia kutanga jezi maana yeye ktk mastaa na aunty Ezekiel ndo Simba ila kurudiana sidhani kwa sasa!Huyo Fred si huwa ana mke wa ndoa?
Nimeona mobeto kajirudisha kwa Fred kumtisha roho Jojo, huyo mobeto kwa kukomesha watu kwenye mahusiano huwa yuko vizuri
Kamuelewa binti wa Kingoni ila kwa ndoa sidhani kwa sasa price atamuoa maana.Fred mzigo upo na bado yank yank lazma apite nao t aisee.
Ila kwa jojo nafkiri yupo yupo sana nambiwa sm inaita muda wote,
Sjui kapewa nini na mh,
..
Exactly anawatumia tu kusaka umaarufu!kwa sasa!Alienda kwa Jojo kwa hasira tu yule kipindi kagombana na mobeto na yeye ana enjoy umaarufu kuoa ni ngumu yeye yuko bussiness oriented atawatumia wote awaache.
😅😅😅.. pesa shetani mkuu,,Kamuelewa binti wa Kingoni ila kwa ndoa sidhani kwa sasa price atamuoa maana.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
yule manz anamshape sio poa kudadeq fred anazama pazuri nyie. Ile pisi kama sio ya kimeru itakua pare au chagaFred amepanga msururu wa wanawake hadi kuna demu flani mwenye hips wa chugga anapiga kawaida, so the list is long, Jojo kafa kaoza na huenda dukani sinza na vimau alipeleka vya birthday kwa Price breaker
Watu washajitoa mshanga skuhiz njuguyule manz anamshape sio poa kudadeq fred anazama pazuri nyie. Ile pisi kama sio ya kimeru itakua pare au chaga
DC atamtumia wajeba wammalize mana sio kwa shape ile, asa na izi njugu za Mwenzetu inakuaje? Au uvumi tu
Pesa n ya nini Kama utakua unapitwa[emoji28][emoji28][emoji28].. pesa shetani mkuu,,
Mwanaume ukiwa na hela kutulia dah inataka moyo ila sio kama hawapendi,
Boss wetu wa wekundu pamoja na mila na desturi zao kua kali ila anawatafuna vbya mnoo.
Fred hajawahi kutelekeza mama mtoto wake, anahudumia kwa kila kitu.Yes huyo kijana ni limbukeni katelekeza familia na watoto, pia anatafta umaarufu kwa nguvu, namhurumia huyo mrembo wa Temeke maana kadaganywa na pete na anataka ndoa ila alipoangukia atalia wallah
😅😅😅..maskini ndo tunavumilia mizigo ikipita so tajiri kama fred.Pesa n ya nini Kama utakua unapitwa
Na Mambo mazur Huku unayaona
Na uwezo unao[emoji2][emoji2][emoji2]
Plus helmet kichwanMhhhh Fred pale anafuta umaarufu aisee
Yani nae ataanza kutembea na nguzo za REA
kisa kapenda
Dah kwa hyo mumeo awe ana tembea tu na kila mtu ka dog wa mkutano then unamvunilia kisa hela loh!Fred hajawahi kutelekeza mama mtoto wake, anahudumia kwa kila kitu.
Yaani anahudumiwa anahudumiwa tena na tema
Huyo dada ana hips ya hatari I think ni mumeru hata wadogo zake wako vizuri kishape ila wote wadangaji mjini aisee.yule manz anamshape sio poa kudadeq fred anazama pazuri nyie. Ile pisi kama sio ya kimeru itakua pare au chaga
DC atamtumia wajeba wammalize mana sio kwa shape ile, asa na izi njugu za Mwenzetu inakuaje? Au uvumi tu
Acha watumike hivi Jojo huwa hajifunzi kabisa loh, licha ya UDC kugombea madanga hajaachaExactly anawatumia tu kusaka umaarufu!kwa sasa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Woi mtu ka hamisa yeye ni kusaka fursa tu hapo hamna upendo but joketi want to settle in wrong place, Mungu amsaidie maana mobeto atamuendea Congo wallahNaskia wametengana na mkewe....!!hamisa na JoJo wote wasaka fursa wako kimaslahi na nafikiri wamemtumia kutanga jezi maana yeye ktk mastaa na aunty Ezekiel ndo Simba ila kurudiana sidhani kwa sasa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mshahara wa DC ni mdogo hauzidi million mbili sasa akitaka iPhone 12 kwa mshahara wake majukumu yatamshinda lazima adange kwa mtu kama vunjabei mtu anatoa B2 simba.Acha watumike hivi Jojo huwa hajifunzi kabisa loh, licha ya UDC kugombea madanga hajaacha
Hahaaaa aisee hatari sana na nusu sikuhizi mbona haanzishi kampeni ka za kisarawe Ili apigie hela huko. Na kumbe UDC nao ni njaa kali aisee, na hapo kwa vunjabei watajifunza sanaMshahara wa DC ni mdogo hauzidi million mbili sasa akitaka iPhone 12 kwa mshahara wake majukumu yatamshinda lazima adange kwa mtu kama vunjabei mtu anatoa B2 simba.
Huyu Dada nampata aiseeHuyo dada ana hips ya hatari I think ni mumeru hata wadogo zake wako vizuri kishape ila wote wadangaji mjini aisee.
D.C atulie wapangwe wote kwa zamu bana si wanataka hela
Kale ka mobetto kanaonekana kanajua vilinge vingi Sana hapa bongo sasa kataanza kuvuks boda[emoji1787][emoji1]Woi mtu ka hamisa yeye ni kusaka fursa tu hapo hamna upendo but joketi want to settle in wrong place, Mungu amsaidie maana mobeto atamuendea Congo wallah
Hahahahahh!!mjini akili tu! Vunja kwa sasa hayuko na mobetto!Woi mtu ka hamisa yeye ni kusaka fursa tu hapo hamna upendo but joketi want to settle in wrong place, Mungu amsaidie maana mobeto atamuendea Congo wallah
Mjini hapa hakuna asiejua Vilinge hao so called supastaa!!wanarogana balaaa!!Kale ka mobetto kanaonekana kanajua vilinge vingi Sana hapa bongo sasa kataanza kuvuks boda[emoji1787][emoji1]