Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Huyo Fred si huwa ana mke wa ndoa?
Nimeona mobeto kajirudisha kwa Fred kumtisha roho Jojo, huyo mobeto kwa kukomesha watu kwenye mahusiano huwa yuko vizuri
Naskia wametengana na mkewe....!!hamisa na JoJo wote wasaka fursa wako kimaslahi na nafikiri wamemtumia kutanga jezi maana yeye ktk mastaa na aunty Ezekiel ndo Simba ila kurudiana sidhani kwa sasa!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kamuelewa binti wa Kingoni ila kwa ndoa sidhani kwa sasa price atamuoa maana.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
😅😅😅.. pesa shetani mkuu,,
Mwanaume ukiwa na hela kutulia dah inataka moyo ila sio kama hawapendi,
Boss wetu wa wekundu pamoja na mila na desturi zao kua kali ila anawatafuna vbya mnoo.
 
Fred amepanga msururu wa wanawake hadi kuna demu flani mwenye hips wa chugga anapiga kawaida, so the list is long, Jojo kafa kaoza na huenda dukani sinza na vimau alipeleka vya birthday kwa Price breaker
yule manz anamshape sio poa kudadeq fred anazama pazuri nyie. Ile pisi kama sio ya kimeru itakua pare au chaga

DC atamtumia wajeba wammalize mana sio kwa shape ile, asa na izi njugu za Mwenzetu inakuaje? Au uvumi tu
 
[emoji28][emoji28][emoji28].. pesa shetani mkuu,,
Mwanaume ukiwa na hela kutulia dah inataka moyo ila sio kama hawapendi,
Boss wetu wa wekundu pamoja na mila na desturi zao kua kali ila anawatafuna vbya mnoo.
Pesa n ya nini Kama utakua unapitwa
Na Mambo mazur Huku unayaona
Na uwezo unao[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yes huyo kijana ni limbukeni katelekeza familia na watoto, pia anatafta umaarufu kwa nguvu, namhurumia huyo mrembo wa Temeke maana kadaganywa na pete na anataka ndoa ila alipoangukia atalia wallah
Fred hajawahi kutelekeza mama mtoto wake, anahudumia kwa kila kitu.
Yaani anahudumiwa anahudumiwa tena na tema
 
Pesa n ya nini Kama utakua unapitwa
Na Mambo mazur Huku unayaona
Na uwezo unao[emoji2][emoji2][emoji2]
😅😅😅..maskini ndo tunavumilia mizigo ikipita so tajiri kama fred.
Lazma upite nao t
 
Fred hajawahi kutelekeza mama mtoto wake, anahudumia kwa kila kitu.
Yaani anahudumiwa anahudumiwa tena na tema
Dah kwa hyo mumeo awe ana tembea tu na kila mtu ka dog wa mkutano then unamvunilia kisa hela loh!
Namhurumia huyo mwanamke aliyeamua kumzalia
 
yule manz anamshape sio poa kudadeq fred anazama pazuri nyie. Ile pisi kama sio ya kimeru itakua pare au chaga

DC atamtumia wajeba wammalize mana sio kwa shape ile, asa na izi njugu za Mwenzetu inakuaje? Au uvumi tu
Huyo dada ana hips ya hatari I think ni mumeru hata wadogo zake wako vizuri kishape ila wote wadangaji mjini aisee.
D.C atulie wapangwe wote kwa zamu bana si wanataka hela
 
Naskia wametengana na mkewe....!!hamisa na JoJo wote wasaka fursa wako kimaslahi na nafikiri wamemtumia kutanga jezi maana yeye ktk mastaa na aunty Ezekiel ndo Simba ila kurudiana sidhani kwa sasa!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Woi mtu ka hamisa yeye ni kusaka fursa tu hapo hamna upendo but joketi want to settle in wrong place, Mungu amsaidie maana mobeto atamuendea Congo wallah
 
Acha watumike hivi Jojo huwa hajifunzi kabisa loh, licha ya UDC kugombea madanga hajaacha
Mshahara wa DC ni mdogo hauzidi million mbili sasa akitaka iPhone 12 kwa mshahara wake majukumu yatamshinda lazima adange kwa mtu kama vunjabei mtu anatoa B2 simba.
 
Hahaaaa aisee hatari sana na nusu sikuhizi mbona haanzishi kampeni ka za kisarawe Ili apigie hela huko. Na kumbe UDC nao ni njaa kali aisee, na hapo kwa vunjabei watajifunza sana
 
Huyo dada ana hips ya hatari I think ni mumeru hata wadogo zake wako vizuri kishape ila wote wadangaji mjini aisee.
D.C atulie wapangwe wote kwa zamu bana si wanataka hela
Huyu Dada nampata aisee

Nilishawahi panda nae Basi siku moja daaah nili chachawa Sana nahisi wanaume waliokuwa kwenye lile Basi wote walidinda [emoji1787][emoji1787] sio kwa ule mshepu kudadadeki

Akashukia pale mwenge mataa kutoka Tanga

Damn nilitaka kushuka nikaombe namba nafsi ikaniambia tulia huna hela tafuta hela Kwanza .

Hahahahah hapa mnavyosema analiwa na price breaker mmenikata maini kabisa [emoji1]
 
Woi mtu ka hamisa yeye ni kusaka fursa tu hapo hamna upendo but joketi want to settle in wrong place, Mungu amsaidie maana mobeto atamuendea Congo wallah
Kale ka mobetto kanaonekana kanajua vilinge vingi Sana hapa bongo sasa kataanza kuvuks boda[emoji1787][emoji1]
 
Woi mtu ka hamisa yeye ni kusaka fursa tu hapo hamna upendo but joketi want to settle in wrong place, Mungu amsaidie maana mobeto atamuendea Congo wallah
Hahahahahh!!mjini akili tu! Vunja kwa sasa hayuko na mobetto!
Dada DC ye aendeleee tu!

Back
Top Bottom