reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Naskia wametengana na mkewe....!!hamisa na JoJo wote wasaka fursa wako kimaslahi na nafikiri wamemtumia kutanga jezi maana yeye ktk mastaa na aunty Ezekiel ndo Simba ila kurudiana sidhani kwa sasa!Huyo Fred si huwa ana mke wa ndoa?
Nimeona mobeto kajirudisha kwa Fred kumtisha roho Jojo, huyo mobeto kwa kukomesha watu kwenye mahusiano huwa yuko vizuri
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app