Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Na Hilo haswa ndo lengo la vera
 
Dawa ya wadangaji wasio na mikakati
 
Wema mjinga wanaume wa bongo wanapenda bonge wenye misabwanda ya haja sasa yeye kajiloga mwenyewe,

Bado uwoya naye ataishia huko huko Yani umaarufu wote tangu early 2005 kuja huku hata banda la kuku hawana wao show off.

Huyo Wema nyumba yenyewe ya mamake ni zile za zamani alishindwa hata ku imodify.

Juzi niliona aristote akimcheka kuwa hana hata hela ya kusuka
 
97% ya wadangaji hawana akili na hata wakiwa na mali, wakishaanza kuchuja wataziuza ili waendelee kumantain status,wakisha choka wanabakia na story ,utawasikia "nimetembea sana ulaya, hizi hotel kubwa kubwa nimemaliza",mfukoni hawana kitu, wanarudi home wakiwapa tabu wazazi wao.

Kuna mdada mmoja Mnyaki, sasa hivi anakunywa gongo ila wanao mjua wanakwambia enzi zake alikuwa kisu tokea yupo Makongo na kumbuka kuna siku sasa tulikua kijiweni kuna brother mmoja enzi zake naye alikuwa mtu wa bata walikuwa wanakutana sana batani, wakakutana na mimi nikiwepo, yaani yule mdada kabakiwa na story kachoka ila still shundu bado lipo.

Basi anajitamba ametembea sana wasanii Daz Nunda, hotel zote hizi kubwa za nyota tano kalala nimetembea na mageneral wa jeshi"

Yaani sasa hivi ukimwona kachoka, ila sijajua imekuaje kuaje kachoka mpaka kaanza kunywa gongo, hata yule brother mwenyewe hajui imekuwaje kuwaje anakunywa gongo.
 
Wanawake wa Kisomali walianza kudanga Ulaya miaka ya 70 baada ya kuiga Wahindi walioanza miaka ya 60. Walifanya makubwa kwao na waliuza mpaka meno ya tembo na madini.

Hii akili matope ni wa bantu tu.
 
Maslay queen wengi akili za maisha hawana hawafikiri kesho, wanazani kila siku watakuwa wazuri.
Nilisoma historia, nyumba ndogo hata wa Wazungu ni kawaida hasa wale matajiri, wengi wanatafutiwa wake wa kuoa kutoka noble families lakini mapenzi hakuna.

Mwanaume anatafuta furaha nje ya ndoa.

Lakini mistress anapewa credit card with unlimited spending limit, mzee ana lipia bill kila mwezi.

Wabibi wa mjini walimlaumu Diana kumuachia Camilla nafasi wakati yeye ndiye alikua mke halali.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…