JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #1,001
Masaki mchezo? Kuna mtu aliniambia ana m800 nikamtafutie nyumba ya kununua nikajua hapa lazima nitoboe kamisheni nipate hata crown, nilimaliza soli pea za kutosha sikuambulia kitu.Kuna mtu alinishawishi nikaangalie makazi kule! Baada ya siku ile nilikata mawasiliano naye [emoji28][emoji28][emoji28]