Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kuna mtu alinishawishi nikaangalie makazi kule! Baada ya siku ile nilikata mawasiliano naye [emoji28][emoji28][emoji28]
Masaki mchezo? Kuna mtu aliniambia ana m800 nikamtafutie nyumba ya kununua nikajua hapa lazima nitoboe kamisheni nipate hata crown, nilimaliza soli pea za kutosha sikuambulia kitu.
 
Masaki mchezo? Kuna mtu aliniambia ana m800 nikamtafutie nyumba ya kununua nikajua hapa lazima nitoboe kamisheni nipate hata crown, nilimaliza soli pea za kutosha sikuambulia kitu.
Hahahahahhaha ana 800million angepata self tu ya chumba sebule choo njeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!!!

Nimecheka sana mkuu ulipata mhaho ghafla baada ya kumaliza soli ukatoka kapa!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sasa ndio wema ameenda huko jaman mpk huruma. Sijui nmpangishe mahali
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sasa ndio wema ameenda huko jaman mpk huruma. Sijui nmpangishe mahali
Yani kwa maisha yao wale sijui hawanaga washauri wazuri! Yani akili ya kununua hata kiwanja kimoja hawanaga...Wanawaza pochi za Prada na Dior tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!

Na kupiga mapicha mahoteliniπŸ˜…
 
Hahahahahhaha ana 800million angepata self tu ya chumba sebule kunya nje[emoji28][emoji28][emoji28]!!!

Nimecheka sana mkuu ulipata mhaho ghafla baada ya kumaliza soli ukatoka kapa!
[emoji23][emoji23]
 
Dogo mshamba[emoji28] angejiweka classy kama Lulu angeishia pazuri! Kujivunia kupigwa mashine na mshika mic toka β€œMkwajuni Village” Chunya ni umandazi
Chunya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yani kwa maisha yao wale sijui hawanaga washauri wazuri! Yani akili ya kununua hata kiwanja kimoja hawanaga...Wanawaza pochi za Prada na Dior tu [emoji28][emoji28][emoji28]!

Na kupiga mapicha mahotelini[emoji28]
Hela umayoipata kirahis hata matumizi yake ni marahisi. Au masharti ya waganga kwamba usifanye ya maana utumie tu
 
Hela umayoipata kirahis hata matumizi yake ni marahisi. Au masharti ya waganga kwamba usifanye ya maana utumie tu
Hahahahah siamini kama ni za masharti! Ukiwa hujazoea kutumia hela au kushika hela nyingi unakuwa addictedπŸ˜… na matumizi ya vurugu pale unapozipatia mrija wenye flow ya mafuriko!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…