Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Nilishawaza Long time huyo hyo biashara ni geresha tu na ndio maana kakimbilia huko chamani ili wasi mu suspect
Wanakuwaga na watu wao wazito tu wanawapa ulinzi na connection. Ila atakuambia sijui chuo alisafiri na rafiki yake nyenyenye. Hakuna cha china wala nini chimbo lao South huko ndo wako kama wote huko kwa madiba. Hata yule aliyempa mke wake zawadi ya X6 wakaachana akakimbia nayo si uliona kundi lao walivyomwaga dolla kushindana kakaake bi harusi? Wote chaka lao kwa madiba.
 
Ila jiwe alikuwa vizuri kuhonga asipokupa cheo basi mjengo
 
[emoji52][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mtajua wenyewe mambo ya katiba ninyi jengeni nchi...sisi tutapaka rangi@Cariha@Golden C@Extrovet na wambea wengineo au siyo ndugu zanguu....!!!??!!!!!!
Kweli umbeya uendelee Mambo serious ya nini kujitaftia maradhi bure
 
Yaani mji mdogo haswaaaaa!!!ishu ni kua viwanja vyao na wengine wanaenda pia,machawa wao siye washkaji zetu na hao madanga wao siye mashemeji zetuuu!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umeona eeeeh ni vile hawaelewi wanajua waja hatutajua[emoji3]
 
DC alianza na Mzee Machache,sasa unadhani hana?? Anakula mashudu kama kawaida! DC na urembo wote ule,haolewi, wala hazai!

Sasa DC hajawamwagia kweli wasanii wetu, Domo na Ndombolo! Plus yule jamaa mrefu na mwenye sauti kubwa kama anameza kaa la moto
Usiamini kila unachosikia we angalia hio circle ndo utajua ni uongo huyo domo na Ali wanatembeza moto kwa madem wa bongo kama wote hao madem wanadate nao na kina rapcha na marioo na hao kina rapcha wanatoka na vitto vya chuo na hao vitoto vya chuo sisi ndo tunatamba kuvila kimasihara
 
Technology imesaidia sana hasa wenye changamoto imagine someone una mayai ila fallopian tube zimeziba au zilitolewa, tushukuru technology ugumba utabaki historia
 
Sijaelewa naona kama umeelezea jinsi vvu vinasambaa
 
Hawa motivational speaker hufanya vijana wapate stress kwa kuhangaika tu bila mafanikio huku wenzao wanauza nguo eti ni mabilionea wakuingia hadi contract na Simba kumbe behind the scene wanafanya ma illegal bussiness.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…