Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Shoo price breaker hivi mwajua mambo zake?!!!!
Na ukiangalia maduka yake hayana wateja kivile sasa unashangaa eti ni bilionea loh
Hahahhaa....!!kaka ngoja sasaa nilete umbea ambao mtashaaa!ngoja nichaji simu niwape za prais breaker
cariha
reymage
Mnaupiga mwingi Sana..
NAOMBA kwenye kila komenti yenu mnitag
 
Na ukiangalia maduka yake hayana wateja kivile sasa unashangaa eti ni bilionea loh
Maduka yote yale ya nguo pale studio na kule sinza utakaa nje pale masaa hutoona mtu akiingia mpaka unajiuliza hawa wanalipaje kodi? Watu wengi wananuanua kariakoo huko,nani aende maduka ya sinza kiatu cha 55,000 utaambiwa 120,000.
 
Ni kweli there is something beyond what we know
 
Kaka unaupenda umbea, tangu jana sidhani kama hata umewasha TV kumsikia bi mdashi akiongea na Salim Kikeke.
Ananisaidia nini cha maana mkuu? Anajua nimekulaje na nimeweka vipi bundle katika hii simu yangu mkuu?

Afterall majukwaa ni mengi humu huwa ninaenda ambapo roho inataka so sidhani kama mie kuwapo hapa kuna effect zozote katika maisha yako mpaka kufikia kutaka kuingilia faragha zangu huku! Hebu fata mambo yako mzee usintaftie Ban!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom