Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Ananisaidia nini cha maana mkuu? Anajua nimekulaje na nimeweka vipi bundle katika hii simu yangu mkuu?

Afterall majukwaa ni mengi humu huwa ninaenda ambapo roho inataka so sidhani kama mie kuwapo hapa kuna effect zozote katika maisha yako mpaka kufikia kutaka kuingilia faragha zangu huku! Hebu fata mambo yako mzee usintaftie Ban!
Ha ha haha[emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu kaongea kwa joke sidhani kama alikuwa anamaanisha huyo
 
Ananisaidia nini cha maana mkuu? Anajua nimekulaje na nimeweka vipi bundle katika hii simu yangu mkuu?

Afterall majukwaa ni mengi humu huwa ninaenda ambapo roho inataka so sidhani kama mie kuwapo hapa kuna effect zozote katika maisha yako mpaka kufikia kutaka kuingilia faragha zangu huku! Hebu fata mambo yako mzee usintaftie Ban!
Cool down Mzee huyo stress zake
Za maisha znamsumbua

Akimskiliza yeye huyo bi mdash inatosha
Maana yy ndo anampa kula
 
Sio lazima rangi ya mtume mbona yule betina assistance wa radio kule bungeni alikuwa wake na alimtoa huko na kumpa ubunge hadi u assistance radio mbao ya kule mjengoni.
Mzee alikuwa vizuri kuhonga nadhani madam assistance radio bado anaugulia msiba
Bwana weee si nikasahau, halafu kuna mtoto mmoja wa stone alikua anaishi nae huyo betina
 
Ila betina hatari jamani kupewa cheo kwa kuvuliwa [emoji160] ndo amnyanyase ubavu wake kiasi hicho maana na yeye alikuwa ana mpango wake kando, hata huyo mumewe ni handsome balaa kumuoa ilikuwa tu kumsitiri huo betina, na alifanya vibaya kumlipiza mumewe uchepukaji kumfanya atolewe nafasi zote za ulaji, sasa mwendazake kaondoka duniani itakuwa mumewe alipiga kigelegele Cha furaha maana ndio alikuwa ana mpa kibri na hyo 2025 sijui ka atarudi maana mbeleko yake kwishney
Mwanaume huwa hakomolewi, mwisho huyu betina atavaa chupi kichwani, suala la muda
 
Hawa vigogo wengi visukari na pressure so wanaweza kuwa wanachezea na kuhonga basi
Na kwanini wanawivu wakijua mwamba unapelekea motroo side chik zao wakati wenyewe gia zimeshafeli.

Sema wanapenda kujimilikisha mizigo ile mikali ili waonekane vijigoo.

Ndo mana unajiuliza mbona wake zao wako kimya kumbe wanajua shughuli hamna humo hata hawashtuki.
 
Sasa yule bado black beauty wa kwa wanyakyi...mama yule ni mke wa mtu then mmewe alikua mtu mzito pale kwa watu wa usafiri,kipindi mke hana cheo Mme alikua mgoni ile balaa baasi alivookota apple kwenye mpera kwa mwenda zake akapewa kicheo,bwana...
Picha linaanza.....!!!!Mme katolewa jiji letu kapelekwa kwa wagogo,picha la pili Mme akanyang'anywa vitengo vyoootee!!kibao kimemrudia mzee baba...mke anaongea na mzee stone kua huyu asipelekwe kokote akae hapa hapa kwa wagogo na asipewe kitendo baasi Mme kile mishe inafeli anaambiwa amri toka juuu!![emoji2][emoji2][emoji2]kadada kale kamdmkomesha ka Mm mpk mwanaume P zimelegea tu ashki majnuun zimemuishaa....!!!!mke anamswagaa vizuri[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]jamaaa anatamani divosi....weeeee!!!muoneni vilevile kanyimwa sura mpk nafsiii!!!
Sura, nafsi hadi mwili si kwa roho hiyo
 
Ila betina hatari jamani kupewa cheo kwa kuvuliwa [emoji160] ndo amnyanyase ubavu wake kiasi hicho maana na yeye alikuwa ana mpango wake kando, hata huyo mumewe ni handsome balaa kumuoa ilikuwa tu kumsitiri huo betina, na alifanya vibaya kumlipiza mumewe uchepukaji kumfanya atolewe nafasi zote za ulaji, sasa mwendazake kaondoka duniani itakuwa mumewe alipiga kigelegele Cha furaha maana ndio alikuwa ana mpa kibri na hyo 2025 sijui ka atarudi maana mbeleko yake kwishney
Sho betina ni nani jmn?
 
Alijisahau sanaa, wakati mambo hubadilika within a second
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom