JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #1,221
Nguo auze yeye? Watu wameuza manguo huko mtaa wa congo nawaona tangu niko shule hadi leo hawana ubilionea wowote itakua yeye.Hawa motivational speaker hufanya vijana wapate stress kwa kuhangaika tu bila mafanikio huku wenzao wanauza nguo eti ni mabilionea wakuingia hadi contract na Simba kumbe behind the scene wanafanya ma illegal bussiness.