reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Sisi hatuumii tunapiga story tu hapaa ujue!!!Papuchi zao mnaumia nyie.
Hivi Clement wa ikuku ndo Nani Jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuumii tunapiga story tu hapaa ujue!!!Papuchi zao mnaumia nyie.
Hivi Clement wa ikuku ndo Nani Jamani?
Wanapenda umbeya wenyewe huku wanasema watu wazalilishwaKabisaaa yaani!maana wanga wengi tayaru
Katiba ni michosho unataka tupate kesi ya ugaidi [emoji23][emoji23]Ni hulka ya watanzania kupenda umbea na kuchimba maisha ya watu wengine mambo ya msingi Kama katiba hawa wambea wote hutawaona.
Wanakuwaga na watu wao wazito tu wanawapa ulinzi na connection. Ila atakuambia sijui chuo alisafiri na rafiki yake nyenyenye. Hakuna cha china wala nini chimbo lao South huko ndo wako kama wote huko kwa madiba. Hata yule aliyempa mke wake zawadi ya X6 wakaachana akakimbia nayo si uliona kundi lao walivyomwaga dolla kushindana kakaake bi harusi? Wote chaka lao kwa madiba.Nilishawaza Long time huyo hyo biashara ni geresha tu na ndio maana kakimbilia huko chamani ili wasi mu suspect
Wema hakusoma Malaysia alikataa ana form four tu basi, pia matabia na kichwa chake wema kumpa hyo nafasi itafanya mteuwaji ashambuliweKwanini wema asipewe UDC si alisoma malaysia. Alafu safari wengi wapo hawana digrii. Na wema kapiga kampeni sana
Ila jiwe alikuwa vizuri kuhonga asipokupa cheo basi mjengoElimu imembeba DC ila jiwe nae unaijua ile hotel ya pale mwenge ITV?yule boss lady katotoa nae kale ka last born kake,[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]mdomo komaaaa Mimi!!!!
Kweli umbeya uendelee Mambo serious ya nini kujitaftia maradhi bure[emoji52][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mtajua wenyewe mambo ya katiba ninyi jengeni nchi...sisi tutapaka rangi@Cariha@Golden C@Extrovet na wambea wengineo au siyo ndugu zanguu....!!!??!!!!!!
Umeona eeeeh ni vile hawaelewi wanajua waja hatutajua[emoji3]Yaani mji mdogo haswaaaaa!!!ishu ni kua viwanja vyao na wengine wanaenda pia,machawa wao siye washkaji zetu na hao madanga wao siye mashemeji zetuuu!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Awe amekuelewa lakini na rangi ya mtume iwepoIla jiwe alikuwa vizuri kuhonga asipokupa cheo basi mjengo
Kunaye na michepuko mwingine uko huko bungeni pia loh, bado mzee alikuwa anapiga na wengine mawaziri, so wajane wengi wameachwaNi muheshimiwa na siunajua alikua anapenda rangi za mtumee halafu naskia ana undugu na mama mjane first lady[emoji1380][emoji1380][emoji1380]
Usiamini kila unachosikia we angalia hio circle ndo utajua ni uongo huyo domo na Ali wanatembeza moto kwa madem wa bongo kama wote hao madem wanadate nao na kina rapcha na marioo na hao kina rapcha wanatoka na vitto vya chuo na hao vitoto vya chuo sisi ndo tunatamba kuvila kimasiharaDC alianza na Mzee Machache,sasa unadhani hana?? Anakula mashudu kama kawaida! DC na urembo wote ule,haolewi, wala hazai!
Sasa DC hajawamwagia kweli wasanii wetu, Domo na Ndombolo! Plus yule jamaa mrefu na mwenye sauti kubwa kama anameza kaa la moto
Technology imesaidia sana hasa wenye changamoto imagine someone una mayai ila fallopian tube zimeziba au zilitolewa, tushukuru technology ugumba utabaki historiaSi sawa ni kuwa mayai yanatolewa kwa mwanamke pia. Fertilisation inafanyika katika test-tube. Baada ya kupata embryo inaigizwa katika tumbo la mwanamke yeyote ambaye ameandaliwa kupokea mimba. Hivyo unaweza kununua sperm na ukanunua ovaries kutoka kwa watu tofauti na ukaiweka mimba katika tumbo la mwanake tofauti, mtoto akazaliwa
Sijaelewa naona kama umeelezea jinsi vvu vinasambaaUsiamini kila unachosikia we angalia hio circle ndo utajua ni uongo huyo domo na Ali wanatembeza moto kwa madem wa bongo kama wote hao madem wanadate nao na kina rapcha na marioo na hao kina rapcha wanatoka na vitto vya chuo na hao vitoto vya chuo sisi ndo tunatamba kuvila kimasihara
Wooi yeye na kina vj pnvWeeee mji mdogo huu
Hawa motivational speaker hufanya vijana wapate stress kwa kuhangaika tu bila mafanikio huku wenzao wanauza nguo eti ni mabilionea wakuingia hadi contract na Simba kumbe behind the scene wanafanya ma illegal bussiness.Wanakuwaga na watu wao wazito tu wanawapa ulinzi na connection. Ila atakuambia sijui chuo alisafiri na rafiki yake nyenyenye. Hakuna cha china wala nini chimbo lao South huko ndo wako kama wote huko kwa madiba. Hata yule aliyempa mke wake zawadi ya X6 wakaachana akakimbia nayo si uliona kundi lao walivyomwaga dolla kushindana kakaake bi harusi? Wote chaka lao kwa madiba.
[emoji23][emoji23][emoji23]wanafatilia umbeya kimya kimya. I swear watanzania wanapenda umbeya bila kujali rika lao. Huu Uzi unadhibitisha HiloWanajibaraguza tu wapo wengi tu humu wananukuu nondo za uchaguzi, utaskia watakapoanza kuparurana.[emoji16]
Sio lazima rangi ya mtume mbona yule betina assistance wa radio kule bungeni alikuwa wake na alimtoa huko na kumpa ubunge hadi u assistance radio mbao ya kule mjengoni.Awe amekuelewa lakini na rangi ya mtume iwepo