Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hawa motivational speaker hufanya vijana wapate stress kwa kuhangaika tu bila mafanikio huku wenzao wanauza nguo eti ni mabilionea wakuingia hadi contract na Simba kumbe behind the scene wanafanya ma illegal bussiness.
Nguo auze yeye? Watu wameuza manguo huko mtaa wa congo nawaona tangu niko shule hadi leo hawana ubilionea wowote itakua yeye.
 
Hawa motivational speaker hufanya vijana wapate stress kwa kuhangaika tu bila mafanikio huku wenzao wanauza nguo eti ni mabilionea wakuingia hadi contract na Simba kumbe behind the scene wanafanya ma illegal bussiness.
Hatari Sana mkuu wanajificha kwenye kuuza nguo na iPhone now days kumbe NGADA
 
Siyo hao tu hata Mapadre na Masista sasa wanaweza kuwa na watoto bila kutenda dhambi ya kuzini. Surrogacy ndiyo mpango mzima kwa sasa. Sista anabaki na bikra yake maana ovaries zinatolewa kwa sindano
Kwa kweli technology imesaidia sana loh
 
Tungekuwa tunachambua vifungu vya katiba hii na rasimu ya Warioba kwa weledi kama uliotumika kwenye huu uzi, Kesho Samia angeitisha bunge la katiba

ndio hivyo tena cha kufia nini? Wacha nile ubuyu tu
We anza kuitisha ili ukajifunze neno mahabusu kwa vitendoπŸ˜…!

Wengine tukikiwasha Ban hazikauki wacha tu deal na story za saluni tu sasa maana Mods hawataki!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…