Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Nimecheka spokeswoman ndo yupi huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie akupe na akupe tenaaa[emoji23] sema bidada yupo vzuri yupo na mjengo wake swafiii pale kino karibu na mitaa ya studio ila mi nampenda ni mpole afu hana skendo za kiduwanzi, hivi alishajifungua???
 
Yaani kuna watu wana mambo ya chinichini hatariii km yule mtangazaji mwenye jina la vazi la kike aliyewaacha wake zake ujue ana danga lake huko mbele ss haijulikani km ni bisexual au mchicha mwiba
Mji una mambo huuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…